Polisi wathibitisha Katibu wa Masanja kajinyonga. Mke wa Masanja alienda kwake kumuonya asiwe anamtumia meseji za mapenzi

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Kupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awali.

Kamanda anasema ni kweli siku moja kabla ya kifo cha Katibu, mke wa Masanja alienda nyumbani kwa Katibu akiwa na mama mtu mzima kumwambia hataki uhusiano naye na asimtumie sms za mapenzi. Kamanda akaendelea kusema ni kweli kulikuwa na mawasiliano kati ya marehemu Katibu na mke wa Masanja.

Polisi wanasema kwa uchunguzi wa awali unaonyesha Katibu alijinyonga kwa sababu ya mapenzi lakini bado wanaendelea na uchunguzi.

========================

Polisi wamesema uchunguzi wa awali yanaonesha Joas Steven alipata mfadhiko na kujiua kwa kujinyonga.

Kamanda wa Polisi wa Kanda ya Maalum Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema pia mawasiliano kati ya marehemu na anayedaiwa kuwa ni mke wa Masanja (Emmanuel Mgaya) yalifanyika kwa simu.

Amesema “Mawasiliano yanaonesha marehemu alikuwa akiomba mahusiano ya kimapenzi, pia siku moja kabla ya tukio mke wa Masanja akiwa na mwanamke mwingine walienda nyumbani kwa marehemu kumueleza kuwa hataki meseji za aina hiyo na hataki uhusiano.”

Kamanda Muliro ameongeza, “Mtiririko wa visa hivyo unatoa nafasi kuwa alipata mfadhaiko akajinyonga, lakini hata hivyo bado uchunguzi unaendelea kwa kuwa huo ni ushahidi wa awali.”

1664872789549.png

Mchungaji Masanja Kulia akiwa na Marehemu.

Sauti ya Kamishna wa Polisi (ACP) Muliro Jumanne​
 
Naendelea kuwakumbusha wanaume kuwa hakuna mwanamke ambae ni wa peke yako kwa sasa na ukimpata muheshimu sana na pia msitumie pesa nyingi mkidhani kuwa mtawafanya waanawake watulie wala msijali kupitiliza.

wanawake wa sasa ni majanga, hakuna mtu aliyekuwa anajifanya ana mapenzi ya dhati kwa mkewe kama Masanja ila ona alichofanyiwa.
 
Kupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha Kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awAli.

Kamanda anasema ni kweli siku Moja kabla ya kifo Cha katibu, mke wa Masanja alienda nyumbani kwa Katibu akiwa na mama mtu mzima kumwambia hataki uhusiano nae na asimtumie sms za mapenzi . Kamanda akaendelea kusema ni kweli kulikuwa na mawasiliano kati ya marehemu Katibu na mke wa Masanja.

Polisi wanasema kwa uchunguzi wa awali unaonyesha Katibu alijinyonga kwa sababu ya mapenzi lakini Bado wanaendelea na uchunguzi.

View attachment 2376847
Mchungaji Masanja Kulia akiwa na Marehemu.

Pia soma: IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi
Kwa hiyo hapa ndio mwisho wa uchunguzi na jalada limefungwa
 
Kupitia Clouds FM Polisi jijini DSM wamethibitisha Kuwa katibu wa kanisa la Masanja amefariki kwa kujinyonga kwa uchunguzi wa awAli.

Kamanda anasema ni kweli siku Moja kabla ya kifo Cha katibu, mke wa Masanja alienda nyumbani kwa Katibu akiwa na mama mtu mzima kumwambia hataki uhusiano nae na asimtumie sms za mapenzi . Kamanda akaendelea kusema ni kweli kulikuwa na mawasiliano kati ya marehemu Katibu na mke wa Masanja.

Polisi wanasema kwa uchunguzi wa awali unaonyesha Katibu alijinyonga kwa sababu ya mapenzi lakini Bado wanaendelea na uchunguzi.

View attachment 2376847
Mchungaji Masanja Kulia akiwa na Marehemu.

Pia soma:IGP Camillus Wambura, Mkamateni Masanja na Mkewe Monica. Mkuu wa Kituo cha Polisi Kawe apishe Uchunguzi
Wathibitishe au Wasithibitishe ila Mimi GENTAMYCINE ukitembea (ukinikazia ) Mke wangu ( tena akiwa ni Mweupe na ana Msambwanda kuzidi wa Kajala ) na kujua nimeshakujua anza Mwenyewe kugawa Urithi kwa Wanao, Kuchagua Jeneza lako na kuchagua ni wapi ungependelea kwenda Kuhifadhiwa moja kwa moja Udongoni na ndipo utajua ni kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa ( National Anthem ) hauna Kolabo Kudadadeki....!!!!!!!
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom