Watanzania wamvaa Beyonce, wataka haki itendeke

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Watanzania wadau wa muziki wameanza movement kutengeneza awareness ili Beyonce ajue watu wake wamempotosha baada ya kukosekana mwakilishi kwenye album ya Lion King Huku akijaza wasanii wengi wa Africa magharibi
Screenshot_20190719-085743.jpeg
Screenshot_20190719-085245.jpeg
Screenshot_20190719-085651.jpeg
Screenshot_20190719-085337.jpeg
 
why na sisi hatutengenezi ya kwetu kama chanzo cha hii ni Tanzania ?why umpangie mtu jinsi ya kutumia fedha zake?always tumekuwa watu wa kulalamikia tulipoangukia sio kujikwaa,unanikumbusha yaliyokuwa yanatokea pale SA kulalamika eti why actors wanaocheza movie za maisha ya Mandela na Nomzamo sio wazawa!!!,walijibiwa kama wanataka watengeneze movie zao,wakafwata mkia.
 
duuuh
 
Watanzania wadau wa muziki wameanza movement kutengeneza awareness ili Beyonce ajue watu wake wamempotosha baada ya kukosekana mwakilishi kwenye album ya Lion King Huku akijaza wasanii wengi wa Africa magharibiView attachment 1157027View attachment 1157028View attachment 1157029View attachment 1157030
Ukiangalia hii Movie pale kilima ambacho simba anabebwa juu na yule Nyani ni sehemu ya Serengeti ipo Njiani kama unatokea fort Ikoma.ila sisi tumelala acha tu wapige hela
 
Attachments

  • download.jpg
    download.jpg
    5.9 KB · Views: 39
  • images.jpg
    images.jpg
    6.3 KB · Views: 42
Hii ni sawa na huko Nchini Brazil at Aldeia das Aguas Park resort kuna water slide imepewa jina la Kilimanjaro toka 2017... na wanapiga pesa hatari...

Alafu ndiyo the tallest water slide in the world... so sioni ajabu mambo yetu mazuri wengine wakayatengenezea fursa...

Brazil...png
Brazil.png
Brazil..png
Screenshot 2019-07-19 at 12.57.39.png

Kilimanjaro 2017: World Tallest Water Slide Brazil after USA Waterslide Closes Down 2017

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom