Harmonize aendelea kung'aa achaguliwa kuwania tuzo za MTV EMA

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Harmonize amekuwa msanii pekee mwaka huu kutokana East Africa kuchaguliwa kuwania tuzo za MTV EMA katika kipengele Cha Best African Act akichuna na wakali Kama Barnaboy na Nasty C
Unaweza kumpigia kura Harmonize kupitia
Kutipia www.mtvema.com
Inst-image-10.jpeg
Inst-image-9.jpeg
 
Sio kweli maana Wasafi hayupo harmonize peke yake

Wote hamuwezi kuwa bora,lazima kuna mwaka mmoja ata rise,hivi leo hii Hazard mchezaji bora upande michuano ya Europa 2018 leo ni mchezaji wa Madrid wewe unazani sifa atapewa nani Chelsea au Madrid?

Najua huwakubali Wasafi but Wasafi ndio wamemjenga Harmonize,projects zake zote bora zimesimamiwa na WCB.

Harmonize nje ya WCB ana project moja ambayo kafanya na Eddy Kenzo jiulize imefika wapi mpaka hivi sasa?
 
Project gani mkuu
 
Mimi ni mzalendo wa nchi yangu lakini hapa Burna boy vs Konde boy. Kura yangu inaenda kwa Burna boy mziki haudanganyi jamaa anajua kinoma noma..

Harmonize nnaweza kumpa kura kama anashindania za east Africa..
 
Nimetoka kuvote kwa

Kondeboy

Shawn Mendez

Ariana Grande

na Billie Eilish

Naiman watachukua
 
Pongezi kwake pamoja na wasafi kwa kumsaidia alipofika cos project iliyomwingiza hapo ni kwangaru ambayo amefanya ikiwa chini ya wasafi.
 
Back
Top Bottom