Ramadhan Singano "Messi" asajiliwa na TP Mazembe

brave one

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,876
7,366
Alikuwa mchezaji wa Azam FC Ramadhani Singano maarufu Kama Messi amesajili na TP Mazembe ya Congo.
Mazembe wanaamini Sinagano ana kipaji kikubwa na chini ya uangalizi wa na malezi anaweza kuwasaidia.
Kila la kheri kijana kajitume uje kuokoa Taifa stars
Inst-image-2.jpeg
Inst-image-3.jpeg
 
Tp Mazembe nayo imeshakuwa kama Mikia wanaosajili Wahindi wenye asili ya Brazil
Hahahahahahahahah nimeshangaa sana TP mazembe walikuwa wanatoa mpaka Dola 20 000 kusajili mchezaji leo wanaokoteza tu
 
Mkuu Nina Mashaka sana na TP Mazembe maana hata timu ya mwaka huu iliocheza na Simba haikua Bora,na huu usajiri wao Kama wakubahatisha tuu
Haikuwa Bora? Wakati Simba walikula 4 pale Congo?
Juzi wamemuuza Meshack Elia Anderlect ya Belgium kwa pesa nzuri na ungejua walipomtoa usingeamini.
Singano wamemsaini miaka 5 , mwaka wa Kwanza atakuwa chini ya uangalia uangalizi maalumu kwasababu wanasema technical Yuko vizuri ila fitness ndo tatizo kidogo.
 
hajielewi huyo,ndio tatizo la kushabikia mpira uzeeni.amemsahau singano wa simba .pale azam wamemu-under use mazembe anaenda kutengenezwa misimu miwili then watu wanapiga pesa
 
Mashabiki wa ile timu walikua wanamwombea mabaya sana. Na alipotemwa Azam walifurahia kwelikweli.
Hongera Rama, acha kina Ajibu wakomae Bongo wakijipima uwezo wao na lipuli
 
Back
Top Bottom