Spika wa Bunge asichaguliwe kutoka miongoni mwa Wabunge na pamoja na Mawaziri
Spika wa Bunge huyu ndie Kiongozi Mkuu wa Bunge, na mfumo uliopo sasa Spika wa Bunge na Naibu Spika wanatoka miongoni mwa Wabunge ndio anakuwa Spika. Tukumbuke kuwa Bunge ni sehemu muhimu kwasababu ndio sehemu...
Mfumo wa kutambua wasomi wote nchini
Katika miaka ijayo serikali chini ya wizara ajira na kazi itengeneze mfumo maalumu wa kutambua wasomi wa kada zote nchini na kwa hatua zote za elimu .mfumo huo utakao tumiwa na wasomi kuweka taarifa zao za elimu. Hii itamuwezesha muwajiri wowote nchini...
MFUMO UTAKAO SAIDIA KURIPOTI MATUKIO YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA NCHINI
Kutokana na ongezeko kubwa la matukio ya unyanyasaji wa kijinsia nchini serikali ianzishe mfumo maalumu utakaotumiwa na wananchi kuripoti matukio ya unyanyasaji wa kijinsia kma vile ubakaji.
Matukio hayo kwa siku za...
Elimu ni ni sekta nyeti katika kila nchi dunian ukitaka kuharibu nchi haribu mfumo wa elimu kivipi kwa sababu ukiaalibu mfumo wa elimu umeshaharibu kila kitu kwa mfano ukialimu mfumo wa elimu ndio chanzo za madaktari wasio uelewa, wahandisi watakao tengeneza miundombinu chini ya kiwango na...
Andiko linausu Tanzania tuitakayo
Tanzania tuitakayo iwe bora katika mambo yafuatayo ni lazima tuifanyie mabadiliko katika sehemu zifuatazo ambazo ni.
Afya: Tanzania kma nchi ni lazima tufanye mabadiliko katika sekta hii ya afya hili tumpunguze adui mkubwa wa umasikini ambaye ni magonjwa...
Mimi kijana wa miaka 24 nasoma degree mwaka wa kwanza Dar es salaam. Naomba mnisaidie kazi kwa sababu najisomesha mwenyewe. Mimi hata nikipatiwa kazi ya kuingia kwa zamu sawa ila iwepo Dar es Salaam
Nitawashukuru sana jamani naomba mnisaidi namb zangu +255 772 525 607 hizo naomba mnisaidie...
AFYA: Tanzania kama nchi ni lazima tufanye mabadiliko katika sekta hii ya afya hili tumpunguze adui mkubwa wa umasikini ambaye ni magonjwa kwenye afya katika miaka mitano ijay, sasa kama nchi tufanye mabadiliko sehemu zifuatazo
- Huduma ya Afya ipatikane maeneo yote nchini hata vijijini...
Awali ya yote napenda kuwashukuru jamii forum kwa nafasi hii walio tupatia.
Katika miaka mitano mpka ishirini na tano Tanzania mm naona tuandae mpango kazi imara wa kuzuia uchafuzi wa mazingira katika maeneo ya nchi.
Nini nikafanyike
Serikali iwatumia maafisa maendeleo na askari hasa (trafic)...
STORY OF CHANGE MSIMU WA NNE (4)
Andiko linahusu Tanzania tuitakayo
Tanzania tuitakayo iwe bora katika mambo yafuatayo ni lazima tuifanyie mabadiliko katika sehemu zifuatazo ambazo ni;
Afya: Tanzania kma nchi ni lazima tufanye mabadiliko katika sekta hii ya afya hili tumpunguze adui mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.