SoC04 Katika miaka mitano ijayo Tanzania kufanye mabadiliko katika sekta

Tanzania Tuitakayo competition threads

Saidi malolo

Member
May 2, 2024
16
10
STORY OF CHANGE MSIMU WA NNE (4)
Andiko linausu tanzania tuitakayo

Tanzania tuitakayo iwe bora katika mambo yafuatayo ni lazima tuifanyie mabadiliko katika sehemu zifuatazo ambazo ni;

Afya: Tanzania kma nchi ni lazima tufanye mabadiliko katika sekta hii ya afya hili tumpunguze adui mkubwa wa umasikini ambaye ni magonjwa kwenye afya katika miaka mitano ijayo ss kma nchi tufanye mabadiliko sehemu zifuatazo

- Huduma ya afya ipatikane maeneo yote nchini ata vijijini ambako kwasasa uduma ya afya ni duni hivyo kma nchi ni lazima tufanye mabadiliko kwa kujenga vituo vya afya .zahanat na hospital za kanda hii itasaidia nchi kupambana na magonjwa mbalimbali

- Kuongeza wataaramu wa afya kama nchi kwa sasa tunauhaba na wataaramu wa afya kwama vile Madktari, na wahudumu wa afya katika miaka mitano ijayo Tanzania lazima tuwekeze katika kupata waaramu wengine wa kisasa ambao watakuwa na uwezo wa kuongoza vifaa vya kisasa vya afya.

NISHATI: Katika miaka mitano ijayo Tanzania ni muhimu tufanye mabadiliko katika sekta ya nishati kwani katika dunia ya leo nishati ni kiungo muhimu katika maendelek ya nchi hivyo kma serikal lazima ifanye mabdiliko katika sekta hii katika sehemu hizi;

- Kutengeneza miundombinu mipya ya nishati kwa mfano nishati ya gesi, umeme wa joto la ardhi,umeme wa upepo ,umeme wa maji kwani miundombinu hii itasaidia katika mabadiliko ya nchi kwa kuongeza uzalishaji na atimaye kupunguza umasikini

- Kupunguza bei ya umeme. Katika miaka mitano iyajo Tanzania kma nchi ni lazima tupunguze bei ya umeme hii itasaidia kuongeza uzalishaji na kuongeza uwezo wa wananchi kujiajiri kwa kuanzisha biashara mbalimbali kwa sababu bei ya umeme kuwa juu ni moja ya chanzo cha umasikini nchini

- Kuongeza upatikanaji wa umeme wa uhakika kama nchi katika miaka minne au mitano ijayo ni lazima tubadilike kwa kuakikisha nishati ya umeme inakuwa ya uhakika na ipatikane maeneo yote nchini mijini na vijijini

ELIMU: Elimu ni nyenzo muhimu katika maendeleo ya nchi katika miaka mitano ijayo nchi ni lazima tufanye mabadiliko katika sekta hii ya elimu kwa kufanya mambo yafuatayo

- Kutengeneza sera imara ya elimu .sera ya elimu iliyopo kwa sasa nchni aiendani na uhalisia ulipo nchini hivyo kma nchi ni lazima ifanyiwe mabadiliko hili tuendelee

- Kuongeza upatikani wa elimu bila malipo kwa ngazi ya elimu ya juu kuna wimbi kubwa la vijana wengi kushindwa kumalidha elimu ya juu asa katika kada ya afya kwa sababu malipo ya ada katika kada iyo ni makubwa katika miaka mitano ijayo ni lazima tufanye mabadiliko katika hili tuongeze wataaramu na wasomi

AJIRA NA KAZI: kwa kipindi sasa nchini kumekuwa na wimbi kubwa la watu wasio na ajira hivyo katika miaka mitano ijayo nchi ni lazima tufanye madiliko katika sera yetu ya ajira na kazi katika sehemu zifuatazo

- Kuwawezesha vijna uwezo wa kujiajiri sera yetu ya elimu iliyopo aifundishi kujiajiri wara kujitegemea hivyo katika miaka mitano ijayo ni lazima tutengeneze sera imara ya ajir itakayowawezesha vijna kuwezo una uwelewa wa kujiajiri

- Kuwaamini vijana wa kitanzania katika utekelezaji wa miradi mbalimbali hii itasaidia vijana kupata ajira

- Kuwawezesha vijana kwa kuwawekea mazingira laisi ya kupata kupata kazi na ajira kama vile kuandaa miradi mbali mbali ambayo vijana watakuwa wanajifunza na uku wanapta kipato Mfano kwa sasa (BBT) chini ya wizara ya kilimo

SANAA NA MICHEZO: Kwa jinsi dunia ilivyo kwa sasa ni lazima tufanye mabadiliko katik katika sekta hii ya michezo na sanaa maana kwa sasa imekuwa ni moja ya ajira kwa vijana tufanye mabadiliko katika sehemu zifuatazo

- Kutengeneza mbiundombinu mbalimbali ya michezo kama vile viwanja,

- Kuendeleza au kuanzisha masomo ya sanaa mashuleni kwa kuendeleza vipaji vya vijana

- Kuwapa ruzuku mabaraza na mshirikisho mbalimbali yanayojishuhulisha na sanaa na michezo hii itasaidia vijana wengi kupenda michezo na kupunguza tatizo la ajira mchini

KILIMO: Hii ni sekta muhimu katika maendeleo ya nchi katika miaka mitano ijayo ni lazima tufanye mabadiliko katika sekta hii asa katika sehemu zifuatazo

- kuwaongezea ujuzi wakulima wadogo wadogo kwa kuwafundisha kilimo cha kisasa kwa vitendo sio kwa kuwaambia kuhakikisha kila mkulima anaondoka katika kilimo cha kizamani cha kutegemea mvua na hii aiweze kutokea bira kuwawezesha kifedha hivyo ni muhimu kuweka fedha hili wapatiwe ujuzi

- kuwashawishi wananchi walime kilimo cha biashara apa ni lazima serikali iwatafutie wakulima soko la uhakika la mazao ambapo watauza kwa bei mzuri

- kuingiza somo la ukulima katika mitaara ya elimu mtoto aanzd kujua kiliml toka akiwa mtoto

SERA NA MIPANGO :Kama nchi lazima tufanye mabadiliko katika sera zetu na mipango katika vitu vifuatavyo

- Kuchagua sera moja ambayo itakuwa ndio sera ya nchi kma viwanda iwe viwanda tu kwa kipindi iko chote na kma kilimo iwe kilimo kwa kipindi iko chote na sio leo sera ni kilimo kesho sera ni kilimo

- Kupango mipango inayoendana na asili na tabia ya nchi yetu na sio kuiga kila kitu

TEKNOLOJI: Kama nchi ni lazima tuifanyie mabadiliko katika sera yetu ya utandawazi kwa sababu uku nako ni nyezo muhimu katika maendeleo ya nchi kivipi

- Ni lazima tutumie teknolojia za kisasa katika kila kitu ambacho tunakifanya kma vile katika uchimbaji wa madini ni lazima tubadilike sio kutumia teknolijia ya miaka ya iliyopita

MIUNDOMBINU: Hii ni nyezo muhimu katika maendeleo ya nchi yoyote ile hivyo ni lazma tufanye tuhakikishe tunatengeneza mbiundombinu iliyo bora na itakayo dumu kwa muda mrefu

- Kuhakikisha mbiundombinu inayojengwa inalenga matokeo ya baade sio tu kuangalia wakati uliopo hii ndio inapelekea kujenga mbiundombinu na baada ya muda furani kuhalibika au kuibomoa kwa kutokufaa kwa matumizi kwa mfano tumeona maraja mengi yamehalibika kutokan na mvau hivyo yatakayo jengwe yawe bora yasije kuhalibika maana bila kufanya hivyo tutakuwa tunatumia pesa nyingi kujenga tena na kubaki pale pale katika maendeleo

STORY OF CHANGE
ANDIKO LIMEANDIKWA NA
SAIDI ALLY MALOLO
PHONE:0753855748
DAR ES SALAAM
 
Point ya msingi sana

Nakubali sana, nishati ni kama kuwapatia wananchi watendakazi wenye nguvu kati ya 30+ hadi zaidi ya 500 ili wajiletee maendeleo.

Nishati ni kipengele kinachoboresha maisha moja kwa moja. Ahsante sana.
 
Ni nzuri lakini nakosa the ‘HOW?’
 
Back
Top Bottom