SoC04 Mfumo wa upokeaji matukio ya unyaunyasaji wa kijinsia nchini

Tanzania Tuitakayo competition threads

Saidi malolo

Member
May 2, 2024
16
10
MFUMO UTAKAO SAIDIA KURIPOTI MATUKIO YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA NCHINI

Kutokana na ongezeko kubwa la matukio ya unyanyasaji wa kijinsia nchini serikali ianzishe mfumo maalumu utakaotumiwa na wananchi kuripoti matukio ya unyanyasaji wa kijinsia kma vile ubakaji.

Matukio hayo kwa siku za karibuni yamekuwa yakiongezeka kwa kasi sana kila siku

Na wananchi wanalalamika ya kuna wanapoenda kulalamika hawapewi ushirikiano hivyo uishi kulalamika mdomoni tu . Kutokana hivyo katika miaka ijayo serikali ianzishe mfumo ambao kila raia ataweza,kuripoti matukio ya unyanyasaji wa kijinsia kwa kufanya mamb yafuatayo

KUANZISHA NAMBA MAALUMU ZA SIMU

Serikali inaweza andaa namba maalumu za simu ambazo zitamwezesha mwananchi kupiga au kutuma ujumbe endapo anapoona au kufanyiwa vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia. Namba zisiwe nyingi sababu ziwe raisi kukalilika na wananchi.

KITENGO MAALUMU CHA KURATIBU MASUALA YA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

Baada, kuandaa hizo namba . Kuwepo na kitengo ambacho ndio kitakuwa kinapokea na hayo malalamimo na kufanyia kati kwa wakati na kiwe na ofisi katika kila wilaya au kata nchi nzima hii itasasaidia kupunguza haya matukio na kuondoa kabisa
KUANDAA (application ) maalumu kwa kupokea matukio ya unyanyasaji wa kijinsia kila mwananch awe anaweza kuipakua kwenye simu yake pale tu anapoona tukio awe anaweza kuwasilisha

VIPIMO VYA UPIMAJI VIPATIKANE KILA SEHEMU NA VISICHUKUE MUDA

Vipimo vya kubaini kama huyu mtu kafanyiwa tendo husika vipatikane kwa haraka na katka mazingira ya kawaida kama na isichukue muda mrefu kutoa majibu hili muhusu aliyefanya awajibishwe kwa wakati
 
Baada, kuandaa hizo namba . Kuwepo na kitengo ambacho ndio kitakuwa kinapokea na hayo malalamimo na kufanyia kati kwa wakati na kiwe na ofisi katika kila wilaya au kata nchi nzima hii itasasaidia kupung
Ndilo hilo dawati la jinsia ama ni kitu ingine?

Vipimo vya kubaini kama huyu mtu kafanyiwa tendo husika vipatikane kwa haraka na katka mazingira ya kawaida kama na isichukue muda mrefu kutoa majibu hili muhusu aliyefanya awajibishwe kwa wakati
Vipimo, sawa vitapatikana sasa sijui tufanyeje katika suala la ushahidi kuukamilisha mapema maana mara nyingi matukio hutokea watu wakiwa wawili bila masahahidi kwa upande wowote ule?
 
Dah kuna mtoto alifanyiwa hii kitu na mwanajeshi tena alimjia usiku mtoto wa watu kazibwa ata hajiwezi yule jamaa akamfanyia ukatili wa maana na kumvunja bikra yke hlf mwanajeshi asubuhi akasafiri ila asichokijua mwanajeshi ni kua nae ana mtoto wa kike kma yule nae tunasbr muda afanyiwe kma alivomfanya huyu mtoto kama tadinu tudani inaumiza sana yni
Yule mtoto akakaa maisha yke yote anachukia wanaume balaa mpk nilivokuja kukutana nae mimi

Ila huyu mwanajeshi tunamtafutia timing tu ajae kwenye zone zetu tumpige faini la hatari bila ya wazazi kujua
 
Back
Top Bottom