Wakaka, rembesheni ndevu zenu

Naisujaki Lekangai

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
1,343
2,000
Mungu kawapa wanaume nywele za usoni: kwenye mashavu, kidevuni na mdomoni.Bila shaka alijua sababu za kufanya hivyo ila sasa baadhi ya wanaume (hasa vijana) huachia nywele hizo kujiotea hovyo na kuleta mwonekano mbaya.

Kwa mwanaume napenda akate ndevu zake ziwe fupi, na ikiwezekana azirembeshe
Staili nizipendazo ni hizi:

MUSTACHE STYLES.jpg
Binafsi napendelea sana pencil mustache, au kama hapa chini:

MUSTACHE STYLES.jpg
BEARD1.jpg

MUSTACHE STYLES.jpg
BEARD1.jpg
BEARD7NICE.jpg
 
Kapyungu A

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
3,510
2,000
Mungu kawapa wanaume nywele za usoni: kwenye mashavu, kidevuni na mdomoni.Bila shaka alijua sababu za kufanya hivyo ila sasa baadhi ya wanaume (hasa vijana) huachia nywele hizo kujiotea hovyo na kuleta mwonekano mbaya.

Kwa mwanaume napenda akate ndevu zake ziwe fupi, na ikiwezekana azirembeshe
Staili nizipendazo ni hizi:

View attachment 447297 Binafsi napendelea sana pencil mustache, au kama hapa chini:

View attachment 447297 View attachment 447298

View attachment 447297 View attachment 447298 View attachment 447299
Kwahiyo ukioana mkaka mwenye ndevu Na anazihudumia wewe hoi
 
Kapyungu A

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
3,510
2,000
Sana tu aisee, kama hao wakaka kwenye picha na pencil beard zao. Una kitu kama hicho?
Ha ha mie huwa natoa kila kitu. Sitaki kufuga kabisa haya makitu Yaani nakuwa kama mtoto. Si unajua tena navihela vyetu ukitia mbwe mbwe watu watajua pedeshee kumbe pedeshe ukchwara. Ila nikimpata atakeye nambia fuga nafuga vizuri tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom