Mafuta mazuri ya kiume

bro kay

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
254
222
Wakuu mambo vipi,

Kwa mda sasa nimekuwa natumia mafuta ya Vaseline ila sasa nataka ku Upgrade.

Je mafuta gani mazuri na classic ya kiume mna recommend?

Bei I-range 20 to 30k Tsh.

Karibuni
 
Jaribu kutumia happy skin ni lotion lakin, mafuta ya mgando yamepitwa na wakati, bei yake ni 27,000/= na yapo ya aina mbili kwa wenye ngozi kavu na ngozi ya kawaida zote ni bei 1
 
Wakuu mambo vipi,

Kwa mda sasa nimekuwa natumia mafuta ya Vaseline ila sasa nataka ku Upgrade.

Je mafuta gani mazuri na classic ya kiume mna recommend?

Bei I-range 20 to 30k Tsh.

Karibuni
Kama utakua interested na happy skin lotion usisite kunichek kwa namba 0718163132 popote ulipo itakufikia kwa bei hyo hyo
 
Back
Top Bottom