Napenda sana kumiliki clothing line

Villky_J

JF-Expert Member
Mar 14, 2017
492
609
Naombeni ushauri nifanyeje ili kuwa na brand ya nguo ikiwa mm sio maarufu..na kwa kuanzia inahitaji kama kiasi gan hv..mnaofahamu tafadhali
 
Kama una new idea Si lazima uwe NA Capital, unahitaji kuandaa Business plan including Drawing za idea yako, then zipo kampani zina support watu wenye ideas Kama zako.
 
Kwanza kabla kuanza kufikiria clothing lini?? Je unapenda masuala ya Fashion na Je unajua Trendy za Fashion??
 
Kwanza kabla kuanza kufikiria clothing lini?? Je unapenda masuala ya Fashion na Je unajua Trendy za Fashion??
Napenda sana fashion na nafwatilia kila kukicha kuhusu hilo kwangu sio tatizo
 
Back
Top Bottom