Fundi wa nguo za Viongozi

Al Adawi

Member
Feb 25, 2011
91
38
Ni fundi yupi huyu maridadi anayeshona zile "suits" za viongozi, mf Waziri Mkuu,wabunge,Ma-RC etc?
Mwenye ufahamu please..
 
Fundi Fidel mrundi yuko Kigoma mjini. Ndiye anayemshonea Zito, kadri, na kaburu.
 
Ingia kwenye page ya Ridhiwan kikwete utamwona fundi wake ambae huwa anatumiwa na viongozi mbalimbali
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom