Kwa fashion hii ya miaka ya iliyopita unaonaje ikarejea tena?

teetotaller

JF-Expert Member
Dec 16, 2014
307
204
Habari za mihangaiko ya hapa na pale kutafuta chochote kitu wana JF!

Unaonaje fashion hii ikarudi tena miaka hii?
FB_IMG_1485976202288.jpg
 
Hapana..sio kwa suruali hiyo mjomba,afadhali hayo mashati
Kipindi fulani hayo mashati si yalikuwepo!!waliyaitaga mashati ya bushoke
 
Huwezi amini ukianzisha biashara ya hayo mavazi unaweza kufanikiwa sana. Binadamu hatueleweki, chacha na viatu vya laizoni vinaweza kuuzwa bei ya juu na watu wakanunua. Hata hivyo maandiko yanasema hakuna kipya, mambo yanajirudia tu.
 
Back
Top Bottom