Umuhimu wa kuvaa nguo za ndani

mwl

JF-Expert Member
May 25, 2011
1,101
913
Wanabodi salaam,

Nimekuwa nikijiuliza mara nyingi hivi kuna umuhimu wa kuvaa nguo za ndani, sawa iwe kwa mwanamke au mwanamme. Hivi hizi nguo za nje si zinatusitiri tayari?

Wajuzi waniweke sawa.
 
Nitakuambia moja tu.

Nguo za nje (kama unavyodai) zinaweza zikasababisha kuota "Sugu" maeneo nyeti.

Mfano mwanamke awe mpenzi wa nguo nzito kama jeans, kama hatavaa chupi au nguo yeyote ya ndani basi nguo hiyo aina ya jeans inaweza kukomaza papuchi (sehemu ya harage. Hii ni kutokana na ukweli kuwa, msuguano wa papuchi na nguo hiyo itakuwa mkubwa na baadae hupelekea kuota sugu mahala huko.

Kukomaa huko kunaweza kuleta gumzo maana huenda mwanamke na mwanamke huchelewa kupata msisimko kunako.

Ni mtazamo wangu. Barikiwa.
 
Hahahaha!! Dah hii inaweza kuwa ni kweli kiasi.

Kwani harage huwaga lipo nje ya papuchi mkuu Compact?
 
Nitakuambia moja tu.

Nguo za nje (kama unavyodai) zinaweza zikasababisha kuota "Sugu" maeneo nyeti.

Mfano mwanamke awe mpenzi wa nguo nzito kama jeans, kama hatavaa chupi au nguo yeyote ya ndani basi nguo hiyo aina ya jeans inaweza kukomaza papuchi (sehemu ya harage. Hii ni kutokana na ukweli kuwa, msuguano wa papuchi na nguo hiyo itakuwa mkubwa na baadae hupelekea kuota sugu mahala huko.

Kukomaa huko kunaweza kuleta gumzo maana huenda mwanamke na mwanamke huchelewa kupata msisimko kunako.

Ni mtazamo wangu. Barikiwa.
Nimecheka sana!
 
Nguo za ndani zina umuhimu wake... Kwanza zinakulinda... Mfano kipindi fulani mdogo wangu alivaa suruali bila kitu ndani, ile kwenye kufunga zipu si nyama ya dudu ikanaswa!!! Alipiga mayowe kama anatahiriwa.... Angekua amevaa nguo ya ndani hasingeyapata yote hayo.
Pia kwa wadada mavazi kama sketi au gauni yanapitisha vumbi huku chini... Nguo ya ndani inailinda papuchi. Ata ukidondoka na nguo ikafunuka au nguo ikachanika, aibu haiwi kubwa sana sababu nguo ya ndani itakua imekusitiri kidogo. Kwa mdada kuvaa nguo ya ndani ni muhimu na salama...

Wengune tusipovaa hizo nguo za ndani, maungo yanakosa ushirikiano
 
Nitakuambia moja tu.

Nguo za nje (kama unavyodai) zinaweza zikasababisha kuota "Sugu" maeneo nyeti.

Mfano mwanamke awe mpenzi wa nguo nzito kama jeans, kama hatavaa chupi au nguo yeyote ya ndani basi nguo hiyo aina ya jeans inaweza kukomaza papuchi (sehemu ya harage. Hii ni kutokana na ukweli kuwa, msuguano wa papuchi na nguo hiyo itakuwa mkubwa na baadae hupelekea kuota sugu mahala huko.

Kukomaa huko kunaweza kuleta gumzo maana huenda mwanamke na mwanamke huchelewa kupata msisimko kunako.

Ni mtazamo wangu. Barikiwa.
Sikujua kumbe hiyo sehemu inaweza ota sugu pia!!!
 
Jana nepishana na uzi unashauri watu wasizivae wakati wa kulala, leo kuna anaejiuliza zina umuhimu gani

Nahisi zinavuliwa sana hizi nguo za ndani hivyo zinazidi kupoteza umuhimu
 
Ni muhimu tu kama unapita ile mitaa korofi, vibaka wanasaula kila kitu... Wanakuachia ya ndani tu sa ole wako uwe hujavaa)
 
Back
Top Bottom