Naomba kujua kuhusu pete wanazovaa wanaume

kahuruku

Member
May 14, 2013
75
35
Wanajamii naombeni mnifahamishe.Kunawanaume wanavaa pete Mkono wa kulia Utamwona amevaa Pete mbili Moja Ina dude jekundu kwa juu ha nyingine ina dude la Kijani.je ni ulembo au kunamaana nyingine zaidi.
 
Wengine ni urembo kwao,wengine ni ushamba tu sababu kina fulani wanavaa,wengine kwa ajili ya kujilinda(kama alarm pale jambo baya linapotaka mtokea au dhidi ya watu wabaya) na wengine huzitumia kwa ajili ya biashara na kuongeza mvuto kibiashara yani ni kama chuma ulete ila hii kisasa zaidi..
 
Kabla yule mnajimu maarufu wa Afrika Mashariki hajafa alizielezea hizo pete mwaka 2009
 
Wanajamii naombeni mnifahamishe.Kunawanaume wanavaa pete Mkono wa kulia Utamwona amevaa Pete mbili Moja Ina dude jekundu kwa juu ha nyingine ina dude la Kijani.je ni ulembo au kunamaana nyingine zaidi.
ni vazi tu na pambo....!
 
zina uhusiano na imani fulani mfano pete za bahati, ulinzi, mvuto nk ila wengine wanavaa urembo tu.. mi navaa pete kwenye kidole cha chini ili kujua limitation napogegeda nisisogeze kizazi
Duh!, umeenda mbali sana kama nimekuelewa ulichomaanisha. Topic shifted to mgegedo!
 
  • Thanks
Reactions: THT
Sababu ya kuleta hii post nimemwona kijana mmoja kazivaa Mkono wa Kushoto moja kubwa na Mkono wa kulia kazivaa mbili.kama ulivyo sema bintishomvi ukweli zinaleta msisimko usiyo elezeka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom