Nini kimetokea? Now 90% ya wadada wa Dar wamejazika nyuma!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
Jamani, kuna kitu kimejitokeza ambacho sie wanaume hatukijui?
Usiku wa leo nimekuwapo The great park kuthibitisha ka utafiti kangu... Ni kweli kuwa asilimia kubwa ya wanawake waliokuwepo pale walikuwa wamejazika nyuma... Hali hii imenitisha na kunifanya nihisi labda wamevaa matambara ndani au labda Mchina is at work...
Wale wataalam wa mambo mkuje huku kutoa maelezo...
 
kipendezacho macho kwa sasa kwa wanaume, baada ya miaka minne sijui wanaume tutataka kuona nn toka kwa wanawake ili waanze kukimbizana kuweka sawa
 
Jamani, kuna kitu kimejitokeza ambacho sie wanaume hatukijui?
Usiku wa leo nimekuwapo The great park kuthibitisha ka utafiti kangu... Ni kweli kuwa asilimia kubwa ya wanawake waliokuwepo pale walikuwa wamejazika nyuma... Hali hii imenitisha na kunifanya nihisi labda wamevaa matambara ndani au labda Mchina is at work...
Wale wataalam wa mambo mkuje huku kutoa maelezo...

Tamaa zako zinakusumbua tu, kafanye kazi acha ujinga
 
Sema hivi we we ni mlafi Wa makario makubwa ya wanawake kwa asilimia 90.
Kila apitie na makalio makubwa unakodolea macho
 
Jamani, kuna kitu kimejitokeza ambacho sie wanaume hatukijui?
Usiku wa leo nimekuwapo The great park kuthibitisha ka utafiti kangu... Ni kweli kuwa asilimia kubwa ya wanawake waliokuwepo pale walikuwa wamejazika nyuma... Hali hii imenitisha na kunifanya nihisi labda wamevaa matambara ndani au labda Mchina is at work...
Wale wataalam wa mambo mkuje huku kutoa maelezo...
mchina wachache sana wengi 071
 
Siku hizi kuna nguo za ndani za kike(Skin tight) ambazo zina sponji na mwanamke akivaa zinatunisha makalio, vivyo hivyo kwa matiti.
Asilimia zaidi ya 80% ya wasichana wa siku hizi, maumbile na urembo wao ni Fake kabisa, kuanzia Nywele, Ngozi, Nyusi, Kope, Midomo, Matiti, Makalio, Miondoko, Sauti nk.

Yote tisa, kumi ni Picha zao mitandaoni, yaani ukiona msichana amepiga Picha yake na kisha kuianika mitandaoni iwe Whatsapp, Facebook, Twitter, Instagram nk basi ni lazima picha hiyo ameichakachua(Editing) kupita maelezo. Huu mchezo unafanywa na zaidi ya 90% ya wasichana kwa sasa.

Yaani Picha za wasichana mitandaoni zaidi ya 90% zinawaonyesha wazuri na warembo kweli kweli, lakini ukirudi mtaani na kuwaangalia wasichana hao hao jinsi walivyo utagundua warembo hawazidi hata 20%. Wengi wao wabovu, wamepauka na kuchakaa vibaya.
 
Back
Top Bottom