Kwanini wanaofuga RASTA na wachoraji wapo rafu?

Machuchu

JF-Expert Member
Mar 31, 2017
1,260
962
Za leo wanajamvi,

Kwanini kwa 90% ya wanaofuga [HASHTAG]#RASTA[/HASHTAG] na wanaofanya kazi za [HASHTAG]#Kuchora[/HASHTAG] Huwa wachafu sana na wapo rafu kimavazi na kimwili? Huwa napata wakati mgumu kuwaelewa hawa watu, tatizo ni nini haswaaaa au ndio principles ya kazi zao kujiweka hivi.?
 
Sio wotees
 
mapovu mengi yatakayotoka probably ni marasta,
muda wakufanya statistics JF ina marasta wangap ndio huu!
 
Attachments

  • rasta 1.jpg
    rasta 1.jpg
    142.9 KB · Views: 106
  • rasta4.jpg
    rasta4.jpg
    13.6 KB · Views: 91
  • rasta3.jpg
    rasta3.jpg
    9.3 KB · Views: 95
  • rasta2.jpg
    rasta2.jpg
    32.5 KB · Views: 129
  • rasta5.jpg
    rasta5.jpg
    50.8 KB · Views: 147
Ipo tofauti ya mchafu na mtu simple,watu wa sanaa wengi ni watu wa akili kubwa, siyo hii akili ya kukarili elimu ya wazungu,mtu mwenye akili nyingi huwa simple sana si kimavazi Lkn hata maisha ya kawaida, hawana ulimbukeni
 
Sheria ya kuwa rasta lazima rasta zako zitoe harufu na ziwe pingili kubwa kubwa, rasta wa ukweli haendi saluni kuosha sijui hizo tabia tunawaachia kina petitman wauza sura!
Nb: tamaduni za watu zinakukeraje?
 
Hapo sijaona mtu mchafu labda kama unakereeka na marasta yao kua manene na mandevu kuyaviriga na marangi wanayopaka na kuvaa kitamaduni labda labda ila kiufupi sio WACHAFU ungewataka radhi kwanza.
 
Back
Top Bottom