Nini kinaondoa garden love?

jimmy jimble

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
216
216
Mastaa wakubwa kama wafilamu na muziki hasa nchi za nje unaweza kuona zamani walikua wakijiachia na magarden love lakini saivi vifua vyeupe.

Wakuu tutaje hapa viondoa garden love kama ni lotion au nini mana kunyoa na kimashine kidogo haiji sana.
 
Mkuu ww c wa kiume ushaanza kutamani kuzioondoa kitachokifuata naona utataka kuziondoa na makalioni baada ya hapo utarudi tena mbona rey waniache anasukumiwa nyama na mie nataka shauri yako.
umeenda mbali sana mkuu hz nywele sometimes ni kama uchafu tu na si wote wanapenda mzee sometimes huez hata jiachia kifua waz mbele ya watu sababu hz si za kuonesha hovyo.zingatia mada tafadhali
 
Simple , tafuta yai viza paka hapo nywele hazitaota kabisa...au shave gell tafuta, unapangusa tuu kama wafuta vumbi ( jiande na side effect)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom