Jinsi ya kuweka nywele fupi natural mawimbi

qtie

Member
Feb 3, 2017
33
11
Habari.
Naomba kujua dawa ya kufanya nywele fupi kuwa na mawimbi pamoja na mafuta yake baada ya dawa.
Hapa namaanisha nywele kwa mfano za lulu zinavyovutia na nyingine kama hizo.
 
Nadhani ndo Yale mafuta ya Carl au duke.... Mhh em ngoja tusubiri wajuzi wa mambo aya waje
 
Nywele za lulu zimewekwa kwanza dawa kisha akapaka mafuta(hapo ndio sijui mafuta gani)

Tafuta styling jelly(unaweza pata ya aina mbali mbali kama sof'nfree) yanaweka mawimbi mazuri.
 
Paka mayai na bamia, kisha uzitumbukize kwenye mtindi, subiri zipoe kisha weka tui la nazi uchemshie kwenye popcorn, chania mchicha!
 
Back
Top Bottom