Mabinti wa sasa wanatembea na Mabegi makubwa makubwa hadi Ofisini yamejaa chanuo, lipstic, wanja, kioo, kanga 1, pedi, poda, perfume, nk. Yaani mama wanatembea na mizigo tofauti na mama zetu na...
Mimi ni mwenyeji wa mkoa wa Kigoma.
Siku ya kwanza nilipokwenda kwenda ku-report kazini mwaka 2011 kampuni moja ya Dar kabla ya kuletwa huku Tanga,nilichomekea suruali yangu nzuri tu nimeipiga...
Habari wanaJF,
Naomba tazameni hii Video, then toa maoni yako, juu ya kusemekana huku kwamba Sidiria zimekuwa na vitufe vinavyosababisha Kansa kisha waelimishe na wengine
Habari naomba kujulishwa rangi zifuatazo; Nyeusi, Nyeupe na Nyekundu. Zinauhisiano gani na secret society?
Tuje hapa nyumbani Diamond anaongoza kuvaa rangi hizi kwenye shoo nyingi ndani na nje...
Habari kina dada/mama,
Leo napenda niwakumbushe urembo ambao watu wengi huwa inatuwia vigumu sana kuutengeneza kwa mazoez.
Najua kuna baadhi yetu tunajua
Kua mazoez ya viungo yanakufanya uwe na...
Naombeni msaada jinsi ya kuzifanya nywele zangu ziwe nyeusi na zilizoshiba.
Nimekuwa mtu wa nywele nyepesi na zisizo na afya.
Kama unajua mafuta yeyote ya nywele yanayoweza kubadilisha nywele...
Mambo vp wanaume wa Tanzania.
Jaman mie ndevu zangu za hapa kidevuni, sharubu Na kweny mashavu natumia MKASI Kuzinyoa..
Hofu ni kuwa threads nyingi humu JF zinazohusu vipele na ndevu naonaga...
Ule mchakato wa vazi la taifa ambao umegharimu mamilioni ya pesa za walipa kodi wanyonge wa nchi hii, mchakato ambao tangu mwanzo wake mimi sikuwahi kuona tija yake zaidi ya kuwapa watu ulaji wa...
Jamani mwezi ujao nafunga ndoa naomba msaada wapi ntapata hii suit na gauni zuri la harusi mi npo mikoani ntafute kwa namba hii 0766568609
Naomba suggestions zetu na more input jinsi ya...
Habari za jioni wana-Jamvi.
Wana-Jamvi, nina dada yangu yupo interested na suala zima la ujasiriamali, kaniuliza shughuli ya kufanya ambayo nikaona niwashirikishe Wanajamvi ili kwa mawazo na...
Habarini, wadau kama upo au unamfahamu mwalimu mzuri wa kupamba mabiharusi na kuchora zile piko nzuri za kizanzibari... nielekeze au nipe contact pm.
Natanguliza shukran
Habari zenu jamani
Kama kchwa cha habari kinavyojieleza naomba nipewe rangi nzuri (colour of the year) maana nna shughuli siku zijazo itapendeza zaidi kama ntapata na picha
NATANGULIZA SHUKRANI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.