Haya Warembo, Walimbwende, Wanyange na Wapenda uzuri wote..... Sote tunajua umuhimu wa kucha kwa mwanamke. Hata upendeze vipi halafu vikucha vyako vimekatikakatika ovyo, vimebanduka rangi, au...
Natumai wanajamvi mu wazima,
Naona kuna mtindo umeenea sana kwa dada zetu kuvaa magauni marefu,hii ni nzuri kwani badala ya kuvaa vimini,wamejitahidi kuvaa nguo ndefu.Sasa tatizo ni huu mtindo wa...
Haya wadau.
Katika pita pita yangu mwisho wa mwaka, nikampata shemeji yenu (mchepuko) ni mzuri balaa, mtoto wa tajiri, elimu masters level.. Makazi ni kwa matajiri Capripoint Mwanza, baba...
Gazeti la Mtanzania jana limeripoti kuwa waumini wanawake wanaokwenda kufunga ndoa katika kanisa Katoliki Parokia ya Hananasif Kinondoni, jijini Dar es salaam wamepigwa marufuku kupaka rangi ya...
Nimekuwa nikiwa na nywele ndefu (kichwani) kwa muda mrefu tu hasa kutokana na nature ya kichwa changu.
Sasa nywele mara ziwe ngumu mara zifubae rangi. Sasa kwa wale watalamu wa nywele ni...
Habari wakuu,
Je vipi mshakunywa chai huko?
Maana huku sukari inalingana na mishahara yetu.
Baada ya salamu hiyo na utani kiasi sasa naomba nijikite kwenye kilichonileta.
Ni kuhusu nguo hasa...
BY DAYAN MASINDE
1. “Lady in a long vest”
This lady loves her sleep, the long vest allows her to wear no panty thus giving her fresh air. She allows the beautiful area between her legs some space...
Mwenge wa uhuru umekuaa ukikimbizwa kila mwaka na kuzinduaa miradi mingi ya maendeleo
JAMBO linalonishangaza ni staili ya uvaaji wa kofia zenye 'kep' kinyume, hapo kuna siri gani...
‘Being on the cover of Vogue at 15 meant nothing to me,’ confesses Carmen Dell’Orefice. She doesn’t mean to sound ungrateful; it was more that she was baffled by it all.
‘I never really...
Poleni sana wanawake wote kwa kazi ngumu za kulea familia
Kumekuwepo na namna mbalimbali za ufungaji wa mikanda kwa hawa wanawake.Kuna wale wanaojibinya au funga karibu na matiti yao,wengine...
Si mimi tu na wewe, kuna baadhi ya watu pia wanataka jua kusuhu hili.
ni nguo gani humfanya mtu (mvulana au msichana) aonekane mrembo au mtanashati?
je? ni mitindo gani ya kuweka kichwani...
VIPODOZI VISIVYO SALAMA NA MADHARA YAKE
SEMINA HII IMEANDALIWA NA KULETWA KWAKO NA:
S&E HEALTH SOLUTIONS; WATAALAM NA WASHAURI WA AFYA, UREMBO NA VIPODOZI
ILALA BUNGONI, DAR ES SALAAM
0659 528 724...
Msaada wadau mi ni mpenz wa afro nywele ndefu ila kipilipili kinanikwamisha
Nywele ninazo ila tatizo hazisimami zinabaki kushindiliana tu
Nomben mnsaidie ili nywele isimame
Warembo wangu mnatumia jinsi gani ya kupaka rangi ya mdomo?
Zifuatazo ni mkusanyiko wa picha za tutorials za kumake up mdomo.
(Warembo wa drama za Kikorea hupaka kama hivo)
(Rahisi mno!)...
jamani huu uzi unatoa fursa kwa wale wote wanaopenda kufuga nywele,jinsi ya kuzitunza na kukabiliana na changamoto mbalimbali za nywele.
nawakaribisha wadau mtoe michango yenu juu ya mafuta gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.