Urembo wako dada/mama

tya02

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
850
1,061
Habari kina dada/mama,
Leo napenda niwakumbushe urembo ambao watu wengi huwa inatuwia vigumu sana kuutengeneza kwa mazoez.
Najua kuna baadhi yetu tunajua
Kua mazoez ya viungo yanakufanya uwe na mwonekano mzuri!!
Mabinti,wakina dada,mama, tuamke sis ni warembo sana embu tufanye mazoezi kushape maumbo yetu yawe na mwonekano mzuri sana na wa kuvutia.
Baadhi ya mazoez ambayo yanatufaa ni kama ya tumbo,kiuno(nyonga),butt exercise,ya mikono,na squat.
Najua yapo mengi ninaimani tutaendelea kufundishana nakupeana mawazo
Ni hayo tu warembo wenzangu
Thanx
 
  • Thanks
Reactions: kui
Ni kweli sana.
Pamoja na kuwa na muonekano mzuri, mazoezi huchangamsha akili pia, unakuwa both physically and mentally fit.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom