Dada zetu wanajiharibu sura zao

Enzymes

JF-Expert Member
Feb 14, 2013
4,332
3,008
Mabinti wa sasa wanatembea na Mabegi makubwa makubwa hadi Ofisini yamejaa chanuo, lipstic, wanja, kioo, kanga 1, pedi, poda, perfume, nk. Yaani mama wanatembea na mizigo tofauti na mama zetu na bibi zetu (wamegeuka Punda).

Lengo lao looote ni kutufake sisi vijana, wakaka na kaka zangu wa makamo kuwa ni wazuri. Wakati uhalisia ni Rangi tu ya masaa 3 wamebandika usoni. Utakuta mtu mweupeeee utadhani kamawagiwa vumbi na gari la mchanga!! Hiki kimekuwa chanzo cha ndoa nyingi sana kuvunjika baada ya mke kujifungua (kuzaa). Uhalisia wake wa sura na mwili huonekana. Utasaidia watu kuoa kitu halisi (anaendana nae) na kudumisha ndoa zetu.

Pia nisaidie hapa: Kuna hizi gauni zao mpya( eti wanaita dela) material yake ni yakutengeneza Masweta, mama Yangu wanavyo vijaza vipisto (vi hips) vyao humo nibalaaa, huku chupi ikiwa imejichora. Hiki kimekuwa chanzo kikubwa sana kwa vijana wasio na uwezo wa kuwapata either Kupiga PUNYETO kwa sana au kuwabaka.

Vimini pia ni issue. Mama tusaidie turudi kuleee kwa Nyerere. Pia ikiwezekana Piga marufuku suluali kwa wadada. Hii kazi ni ya siku 2 tu, ww wakabidhi Mgambo na makondakta wa daladala, wala huitaji budget ya Mpendwa wetu Dr. JMP (Mzee wa kubana matumizi).

Mama toa tamko. Wake zetu wanalalamika sn eti wanaume tumezidi kukodolea macho wadada (wapita njia au wahudumu wa bar).

Fanya hiki kitu. Jamii ya watanzania watakukumbuka daima.
 
Kwani wewe unamwonaje Samia? Kwamba hana make up au?

Kikubwa tuliza akii uchague unayemtaka. Unataka msichana kutoka wapi? Na wewe unapatikana wapi? Huwezi kuata binti aliyetulia kwenye mikesha ya miziki ya chura, umlinganishe na yule anayekesha kwenye nyumba za ibada akifanya sala.

Ukiwa umetulia wewe huwezi kuvutiwa na viruka njia sana sana utawahurumia. Lakini kama wewe ni mcharuko, hao watulivu utawaona washamba kumbe ni adabu tu.

Sijui umelelewa wapi wewe. Huwezi kushindwa kumfahamu kijana na binti mtulivu kwa sababu ya make up. Nazo zoko aina nyingi na utumiaji wake uko aina nyingi lakini siyo mbaya.

Huyo Samia, unamwngalia vizuri lakini? Pamoja na makeups zake, mbona katulia?

Tatizon ni la kwako. Unajiugamanisha na maeneo ya ma changu na nadhani ndiyoyanakufurahisha. Ukipata binti mtulivu bila shaka utamtesa. Ukitaka kupata wasichana wazuri, kwanza wewe uwe safi uachane na vijiwe vya makahaba.

Usimsumbue Samia.
 
Tulia mkuu elewa mada. Nimeweka vipengele na athari zake!! Issue kubwa siyo Kuoa/kuolewa!!
 
Unajaribiwa na tamaa zako mwenyewe. Huwezi kutamani sumu kama unajua ni sumu. Lazima uhusiane nao? Mind your own business, waache na fashion zao hazikuhusu. Hisia za ovyo hovyo tu!
 
Mi mbona sioni tatizo mtoa mada? Mtu akibeba hivyo vitu haimaanishi kama yupo fake ila tu anajali muonekano wake na anapenda kua smart. Kubeba kiatana, lipstick, kanga ama pedi vyote ni katika utaratibu wa kuhakikisha mtu yupo smart.
Kwa mfano mtu anapobeba kanga anawea pata dharura kama kuchanika nguo ama kuchafuka na akajistiri kwa kanga, hata pedi hivyo hivyo inaweza kumsaidia yeye au mwanamke mwenzake atakae pata nahati mbaya eneo lisilo na nyenzo hizo.
Na kuhusu mavazi mbona ni uamuzi wa mtu kikubwa asivunje sheria za nchi???
Wewe kama wanakukwaza wa hivyo kaa bali nao maana huwezi zuia mtu kufanya kitu anachokipenda.
 
Enzymes ngoja nikushauri kitu Ukipata demu anajipaka paka mazingaombwe usoni wee mpeleke swimming tu utagundua uasilia wake yaani unatakiwa anzia day one mwambie unapenda kuogelea ajue maji yanamuhusu Sana hapo utagundua Hata hivyo vigodoro feki
 
Ati turudi enzi za nyerere...Rudi we na ukoo wako!!!sio wadada wote tuko ovyo,ni wachache wana kero ulizotaja...Na pia kugeuza shingo ni tamaa zako binafsi,kwann zigo la lawama ututupie wadada!???
 
Ha ha ha ha ha , ahsante kwa ushauri.
 
Ati turudi enzi za nyerere...Rudi we na ukoo wako!!!sio wadada wote tuko ovyo,ni wachache wana kero ulizotaja...Na pia kugeuza shingo ni tamaa zako binafsi,kwann zigo la lawama ututupie wadada!???
Duuh, Naomba Pooo best!!! Ila kama ww huwa unanitega sn yaani
 
Mabinti wa sasa wanatembea na Mabegi makubwa makubwa hadi Ofisini yamejaa chanuo, lipstic, wanja, kioo, kanga 1, pedi, poda, perfume, nk. Yaani mama wanatembea na mizigo tofauti na mama zetu na bibi zetu (wamegeuka Punda).

Lengo lao looote ni kutufake sisi vijana, wakaka na kaka zangu wa makamo kuwa ni wazuri. Wakati uhalisia ni Rangi tu ya masaa 3 wamebandika usoni. Utakuta mtu mweupeeee utadhani kamawagiwa vumbi na gari la mchanga!! Hiki kimekuwa chanzo cha ndoa nyingi sana kuvunjika baada ya mke kujifungua (kuzaa). Uhalisia wake wa sura na mwili huonekana. Utasaidia watu kuoa kitu halisi (anaendana nae) na kudumisha ndoa zetu.

Pia nisaidie hapa: Kuna hizi gauni zao mpya( eti wanaita dela) material yake ni yakutengeneza Masweta, mama Yangu wanavyo vijaza vipisto (vi hips) vyao humo nibalaaa, huku chupi ikiwa imejichora. Hiki kimekuwa chanzo kikubwa sana kwa vijana wasio na uwezo wa kuwapata either Kupiga PUNYETO kwa sana au kuwabaka.

Vimini pia ni issue. Mama tusaidie turudi kuleee kwa Nyerere. Pia ikiwezekana Piga marufuku suluali kwa wadada. Hii kazi ni ya siku 2 tu, ww wakabidhi Mgambo na makondakta wa daladala, wala huitaji budget ya Mpendwa wetu Dr. JMP (Mzee wa kubana matumizi).

Mama toa tamko. Wake zetu wanalalamika sn eti wanaume tumezidi kukodolea macho wadada (wapita njia au wahudumu wa bar).

Fanya hiki kitu. Jamii ya watanzania watakukumbuka daima.
So what?????
 
tumblr_m6horvRAeE1rwx83mo1_500.gif
 
Back
Top Bottom