Utoke vipi kitaa?

Mi napiga pensi langu combat la greenish, shati form 6 (light material cz joto sanaa nnje) na leather sandals alaf huyoo kwa nchepuko tukajiwashe. Tehe
 
Haaa mkuu
Kumbuka kuingiza sandals zako ndani...zikiibiwa utarudi kwa wife pekupeku
 
ac4b88f52e1afa288f3f5a55d15aa013.jpg
Hawa wanataka sifa sasa
 
Back
Top Bottom