Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Habari yenu warembo na watanashati? Katika maisha yetu ya kila siku tunapitia mambo mbalimbali yanayosababisha ngozi kuharibika, kufubaa au kupata chunusi, mapele na madoa,lakini...
2 Reactions
23 Replies
27K Views
Je uliwahi kuona mama na mwanae wanaovaa machi?..kama siku ukaamua uvae sare na mtoto wako wa kike hapa kuna mother daughter outfits ambazo zitawafanya mpendeze na kuwa sare in style..
1 Reactions
8 Replies
7K Views
Diamond na Zari wako kwa Tour ya Diamond iitwayo FromTandaletoWorldTour.We love what they wore huko Sweden ilikuwa ni mwendo wa all white. Pata nyingine nenda 16Lao Tanzania's Best Website...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Najua huku kuna wanamitindo na jukwaa linapitiwa sana na watu wengi. Hivyo basi naomba msaada wa rangi (colour of the year) maana ninashughuli hivi karibuni mchangiaji ukitupia na kapicha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
They're not called killer heels for nothing. Pinchy, uncomfortable and, occasionally, downright dangerous but high heels do make women look good. Researchers at the university of Portsmouth say...
5 Reactions
117 Replies
15K Views
Kila mtu mtaani now anaimba NDI NDI NDI wimbo mzuri haswaa na mashabiki wamempokea Anakonda vizuri with her new hit. Mbali na kuupenda wimbo we also love her new double undercut hair style...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Eti kweli ukianza kupaka makeup mapema zinazeesha kukomaza sura? umri gani mzuri kuanza kupaka makeup?
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Ni muda sijapost different look i loved from Instagram,leo nimezipata nyingi za kutosha hope you will like them and be inspired. Lady in red ,she wore this cute lace dress with red pumps Maloji...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wakuu habari zenu. Kwa anayefahamu tafadhali naomba kufahamishwa wapi nitapata MAC Powder na Foundation original. Naranguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, Nipo Uyui mashambani nahitaji kujua namna ya kusafisha cheni na pete ya silver maana huku hamna sonara, tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari zenu mabibi na mabwana, Nywele zangu ni natural, nyeusi na kipipili lakini siyo ngumu sana.Sijawahi weka dawa sasa nahitaji kuweka dawa kwa mara ya kwanza, Je nitumie dawa gani...
0 Reactions
20 Replies
35K Views
Here is something I have wanted to share for a while but have not quite got the guts to say it out loud without turning a shade darker on the cheeks, so I would rather write it out; panties and...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
0 Reactions
7 Replies
2K Views
A pocket square ni among the trends zinazobamba now days, men look even more dapper waki add a pocket square kwa their shirts. Click hapa kuona how MC Luvanda styles up with a pocket square...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa lino International Agency LTD, Hashimu Lundenga akizungumza na waandishi wa (habari hawapo pichani) katika ukumbi wa idara ya habari (MAELEZO), kuhusiana na msimu mpya wa mashindano...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Bidhaa za urembo wa uso na mwilini kwa wanawake na wanaume kuondoa chunus sugu, mafuta uson, madoa, mabaka mwilini, kuondoa makunyanzi usoni, kunuka miguu na fangas, perfume, lotion za mwilin...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom