Avae nyeusi kwani anaomboleza nini? Na akivaa nyeusi sio full mybe trauza na shati nyeusi (nyeusi nzr sio dzain ya kisarakasi) koti jeupee kimodooo singoo batan taii ni hizi za kipepeo mi ndio najua hivyoo wenyewe mnjini mna jina lenu sijui bonii niniii ngoja niache nisijetukana buree...Wanaume wanavaa suti zenye rangi ya blue.
Nimeona hivi si harusi moja wala mbili. Ni nyingi sana.
Ni fasheni au nini?