Je, kuna matatizo yoyote naweza pata kwa kunyoa ndevu kwa kutumia mkasi?

Padri Mcharo

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
1,899
3,683
Mambo vp wanaume wa Tanzania.

Jaman mie ndevu zangu za hapa kidevuni, sharubu Na kweny mashavu natumia MKASI Kuzinyoa..

Hofu ni kuwa threads nyingi humu JF zinazohusu vipele na ndevu naonaga nyie {almost 100% all males in JF} Mnashauri kutumia mashine...

Hata cku moja cjawah ona mtu kasema MKASI..
JE NIKIENDELEA KUTUMIA MKASI KUWA MADHARA YOYOTE...
 
Hakuna madhara yeyote Kama unautumia ipasavyo. Kila mtu Ana matumizi yake kutokana na hali na kipato chake. Kama vipele havikutokei endelea tu kuutumia.

Kama vipele vinatokea tumia magic inafanya kazi vema.
 
Hakuna madhara yoyote, tena mkasi ni mzuri zaidi kwa kuwa haukukatikati na kukusababishia majeraha mengi. Ni mzuri zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom