Ushauri kuhusu aina nzuri ya mafuta

Popo bawaa

Member
Apr 19, 2016
47
2
Ni mafuta yapi mazuri kwa ajili ya nywele na ngozi?

Maana zipo vizuri kwa urembo. Mimi ni mwanaume lakini hata yakiwa ya kike poa tu.
 
funguka aisee mtoto wa kiume unataka nywele ndefu.poa lakini.


swissme
 
nazi.jpeg
 
Back
Top Bottom