Msaada: Rangi za sherehe (Send-off)

Qurie

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
3,643
3,874
Habari zenu jamani
Kama kchwa cha habari kinavyojieleza naomba nipewe rangi nzuri (colour of the year) maana nna shughuli siku zijazo itapendeza zaidi kama ntapata na picha

NATANGULIZA SHUKRANI
 
Mmhh jamani naona views wengi lakini amna replies ata moja
 
Colour of the year ya mwaka huu naona kama imefifia afu kibongo bongo kwa ngozi zetu hatupendezi sanaa mi naona -:
Royal blue
Emerald green
Maroon
 
Habari zenu jamani
Kama kchwa cha habari kinavyojieleza naomba nipewe rangi nzuri (colour of the year) maana nna shughuli siku zijazo itapendeza zaidi kama ntapata na picha

NATANGULIZA SHUKRANI
Rangi nzuri ni ile inayokupendeza...color of the year inawezekana haipendezi kwa kila mtu
 
Habari zenu jamani
Kama kchwa cha habari kinavyojieleza naomba nipewe rangi nzuri (colour of the year) maana nna shughuli siku zijazo itapendeza zaidi kama ntapata na picha

NATANGULIZA SHUKRANI
Ingia kwa Flaviana matata na clou of the yr ni maroon light
 
Hey mamboz,,rangi za mwaka mi sijazipenda,,my sendoff next week tutatumia hotpink n purple,,harusi royal blue red n black
 
Jamani daisyvicky 2pia bac ata na kipicha baada ya izo shughuli itakua msaada na kwa wengine ety
Hey mamboz,,rangi za mwaka mi sijazipenda,,my sendoff next week tutatumia hotpink n purple,,harusi royal blue red n black
 
ea1470a4e27439ee23c52211e136396c.jpg

Hizo ndio rangi za mwaka huu ila zimepoa saana,. Nakushauri uvae gold na red zinapendeza kwa mtu mwenye rangi yotote,.
 
Mimi sio expert sana but nimesoma kitu kuhusu uchaguzi wa rangi...jaribu kuchagua rangi ambayo inaendana na wewe sio kila rangi nzuri ukiitumia itakufaa so rangi yoyote inayoendana na ww, tafuta 2/3 ambazo zinaweza toa combination nzuri.
 
Back
Top Bottom