NATAFUTA ISSEY MIYAKE ,SMART COLLECTION
BODY SPRAY AND PERFUMES.
Wakuu..
Salaam kwenu.
Wanajamvi Nazitafuta sana hizi vitu.
Kama unazo ama unajua naeza pata pls ni PM.
Aksante.
Hahahaha hivi kumbe bado vyuo vyetu vinatoa mamisi, leo ndo atapatikana miss mwenge university moshi, tukachague huyo miss. Ila naona atashinda magreth massawe.
Pia form6 karibuni mwenge mwecau...
Hawa wadada wa barber shops wanazingua sana!
Akikuuliza unafanya scrub ukamwambia hufanyi… Na hizo huduma zao nyingine (mimi sio muumini wa hizo huduma) ukazipangua zote , Sana sana ukataka...
Habari wanajamii. Kwa anayefahamu naomba anielekeze duka/mahali naweza kupata Neutrojena oil free moisturizer, maduka ya vipodozi mwenge nimekosa. Natanguliza shukran.
Jinsi tunavyopenda
Moja ya mtindo wa mwaka 2016 ni nyeupe pe
The stylist Swalha in her comfy ensemble ,denim on denim with red trainers
Bhoke is looking good in her ripped jeans
Zari the...
Jmn wapendwa habr, mm ni msichana nilikuwa mwembamba b4 ila siku izi nimeanza kunenepa cha ajabu tumbo linakuwa kubwa nguo hazinipendez yan naona kero, msaada nifanyaje ili niiepuke hii hali jmn
Kwa wale ambao ni wa karne kadhaa watakumbuka kuwa hapo kale kulikuwa na mtindo wa watu hasa vijana wa miaka hiyo kuchana suruali hasa maeneo ya magotini na badhi kwenye paja. Yani mtu alikuwa...
Jamani hivi what so special kwa mafuta ya ojojo? Maana mjini hakukaliki ni ojojo, nyumbani hakukaliki ni ojojo.
Hivi ni kweli haya mafuta yanasaidia kukuza nywele? Kuna mwenye ushahidi...
Wakuu nimeingia pale Cadet zinauzwa Tzs. 79,000 na 126,000 Viatu vizuri vyenye label yao hadi 250,000 wenye Uzoefu na Maduka haya hebu tuambieni Ubora nikinunua hiyo Cadet ya 126,000 nitadumu...
Hii tabia yenu imenikera sana, nimeivumilia sasa nimeona bora niwaambie tu mkae mkijua kuwa hatuipendi.
Mlianza kuvaa suruali, tumekaa kimya, mmetaka usawa tumekaa kimya, mmekuja kwenye hili la...
Kutoboa sehemu mbalimbali za mwili ni moja ya harakati za kuongeza mvuto kwenye mwili wa binadamu.
Sehemu mbalimbali hutobolewa na kupambwa kwa vito au mapambo ya shanga ili kuongeza mvuto...
Aug 21st, 2015 | by Rachel-Jean
Okay gentlemen, listen up. Now, we know that there are dozens of different reasons why men dress the way they do, why they make certain sartorial choices, and why...
Dar es Salaam. Hakuna shaka kwamba sasa kuna ongezeko kubwa la matangazo ya dawa za kurekebisha maumbile, hasa za kuongeza ukubwa wa makalio, maziwa ya mwanamke na nyonga.
Mitandao ya kijamii...
Wakuu habari,
Ukweli ni kwamba kutinda nyusi na kupaka wanja kwenye nyusi imekuwa ni urembo kwa wadada siku hizi, mimi pia napenda kutinda nyusi na kupaka wanja mwemyewe ila siwezi.
Nimekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.