Ipi kazi ya Matron siku ya harusi?

Siku ya harusi kazi yake ni kukufutafuta jasho , na mambo mengine kukuweka sawa. pia ni shahidi na msimamizi wa ndoa yenu. Mkipata tatizo na mkashindwa kusuluhisha nyie wenyewe basi mnaanzia kwa wadhamini(wasimamizi) wenu.
 
Hiyo si kazi ya matron. Siku ya harusi kazi yake ni kukufutafuta jasho , na mambo mengine kukuweka sawa. pia ni shahidi na msimamizi wa ndoa yenu. Mkipata tatizo na mkashindwa kusuluhisha nyie wenyewe basi mnaanzia kwa wadhamini(wasimamizi) wenu.
nyoooo,,,kama hajakufundisha kukata mauno poleeeeee
 
Sijui utaratibu wa huko kwenu. Ila ninavyojua mimi na harusi nyingi nilizoshuhudia anayekufundisha kukata mauno ni mwingine na matron ni mwingine. Ila kama huyo matron anayajua mauno akikufundisha si mbaya.
 
sasa naona kidoogo unakujakuja kwenye point,,,anyway wee nani alikufundisha jinsi ya kukalia na kukatika?
 
Kwanza nikwambie kuwa inategemea harusi inayofungwa ni ya dini gani. Mfano madhehebu ya kikristu mengi ukiacha roman catholic (huwa hawajali). Matron wako anatakiwa awe ameolewa..na mume wa huyo matron ndio anatakiwa awe ni patron wa bwana harusi..unatakiwa kuchagua watu ambao watakupa ushauri mzuri na watasimamia maadili ya ndoa yenu kwa ufasaha.
sasa si kila mwanamke anajua kukata mauno na hata kama anajua anaweza asiweze kukufundisha ipasavyo. Ndio maana kuna mtu maalum wa kukufundisha mambo ya chumbani siku ya kitchen party. Na mara nyingi si matron.
Sasa kama kwako wewe ilitokea matron wako akakufundisha si mbaya pia. Mtu yoyote anaruhusiwa kukufundisha. kwa upande wangu sikufundishwa na matron.
 
asee unajua kujibu vizuri adi raha yani,,,sasa huko kwenye kicheni party wana act kivipi ili elewe?
 
Kazi kubwa ilikuwa kushughudia wakati wa tendo la ndoa kama
bi harusi ni bikira ila mama mzee chema apewe zawadi zake;

Miaka hii naona hawana kazi hiyo tena labda hiyo ya kufuta futa jasho tu;
 
jamani muuliza mada naona haelewi somo kabisa ana isitoshe ni mvamizi maana kama mwanamke anatambua kila kitu kwani kuna jando na unyago sasa sijui huyu hakupitia unyago au jando maana naona anataka watu wapasuke hapa bila sababu
 
Sasa jukwaa hili kwanikazi yake ni ipi? Umeambiwa hili ni jukwaa la dini? We mama vipi?
 
Kazi kubwa ya matron na best man ni ushahidi wa ndoa yenu, pili kuwaombea kwa Allah mdumu ktk ndoa yenu, tatu kuwatembelea na kuwashauri
 
Kweli nimeamini vijana wa sasa wanazidi kupoteza maana na ladha ya haya mambo ya kale.
Ebu ngoja nijipitie mie bazazi
 
jamani muuliza mada naona haelewi somo kabisa ana isitoshe ni mvamizi maana kama mwanamke anatambua kila kitu kwani kuna jando na unyago sasa sijui huyu hakupitia unyago au jando maana naona anataka watu wapasuke hapa bila sababu

Umevurugwa wewe
 
Back
Top Bottom