Click Hapa
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 479
- 206
Habari za jioni wana-Jamvi.
Wana-Jamvi, nina dada yangu yupo interested na suala zima la ujasiriamali, kaniuliza shughuli ya kufanya ambayo nikaona niwashirikishe Wanajamvi ili kwa mawazo na ushauri wenu nina uhakika wa kupata MAJIBU.
Anapenda kufanya shughuli ya kuuza VIPODOZI na UREMBO for Ladies. Kwa mawazo yake ni kwamba anataka afungue Duka na auze bidhaa hizo kwa REJAREJA.
Naombeni ushauri Wanajamvi kwa yeyote aliye mzoefu wa shughuli hii anijuze nini faida na changamoto zilizopo ktk shughuli hii. Ni mtaji kiasi gani unahitajika ili kuweza kuwa na sound return. Je, location inatakiwa iweje.
Natanguliza shukurani