Madhara ya Sidiria kwa Wanawake

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Habari wanaJF,

Naomba tazameni hii Video, then toa maoni yako, juu ya kusemekana huku kwamba Sidiria zimekuwa na vitufe vinavyosababisha Kansa kisha waelimishe na wengine

Habari wanaJF,

Naomba tazameni hii Video, then toa maoni yako, juu ya kusemekana huku kwamba Sidiria zimekuwa na vitufe vinavyosababisha Kansa kisha waelimishe na wengine

Sasa sisi tunaonyonya haya maziwa madhara yake yatakuaje? Mtaalamu anisaidie na wengine kama Mimi wasaidike.
 
Back
Top Bottom