First time cruiser

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,390
Ndo mara yangu ya kwanza. Sijui natakiwa nivaaje na nibebe nguo gani. Naomben mnisaidie nifanyaje. Kuna special Cruise clothes ?

Msaada pls.
 
Utakaa muda gani? Jipange kama unakwenda holiday ya kawaida pia inategemea ukubwa wa meli. Kama meli ni kubwa kutakuwa na malls, gym, swimming pool. Dinner and dance ni kawaida. Plz nenda na mtu unaempenda, other wise kushare cabin siku 7 au zaidi na mtu ambae humpendi ni ngumu na huwezi badili mawazo kuwa unashuka:p:p:p
 
ntakaa wiki 1 naenda na rafiki yng. naweza kuvaa nguo zozote?
 
Ukiwa kwa boti kamatia bikini na Bra, kwenye gari kamatia trouser na magauni ila kama ni ughaibuni ni full kujiachia.

Ipo siku nitatua Bahama au Brazil
 
Jaribu kumcheki Le baharia a.k.a Le mutuz nadhani atakupa majibu ya uhakika.
 
Kama ni meli kubwa ni kama kukaa kwenye hoteli kubwa plus night club and mall, vaa kwa kuendana na dress codes za maeneo hayo. Basically, its like a beach hotel. Changanya na zako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom