Rangi nyeusi, nyeupe na nyekundu zina uhusiano gani na secret society?

DREAMBOY

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
2,117
1,368
Habari naomba kujulishwa rangi zifuatazo; Nyeusi, Nyeupe na Nyekundu. Zinauhisiano gani na secret society?

Tuje hapa nyumbani Diamond anaongoza kuvaa rangi hizi kwenye shoo nyingi ndani na nje, Lakini pia kwanini viongozi wengi hupenda kuwa wakati wa viapo vyao kuvaa suti nyeusi wakati mwingine shati nyeupe na tai nyekundu.

Kama huamini fuatilia YouTube, na yeyote ajuae the secret power of these colours anielimishe, nami ikilazimika nianze kuvaa kila public occasion.
 
Hakuna lolote, hizo ni rangi tu. Hata ukisoma maelezo ya mapazia ambayo Musa aliambiwa atumie kutengenezea hema kule jangwani, utaona rangi nyekundu ilikuwemo. Japo pia kuna mchungaji flani aliwahi elezea kwa nini rangi nyeusi inapendwa kuvaliwa na waganga wa kienyeji na pia misibani. Na historia yake inaanzia kwenye zama za Nimrod.
 
we endelee kidogo
 
Inamaana manesi, madokta, masister wa kanisani bila kusahau wanafunzi wa primary na secondary wote wachawi kwa sababu wanavaa nguo nyeupe? Eti alafu freemason kama hujui wakienda chooni wanachuchumaa, je wewe utasimama wima #ACHAUPUUZI Mtafute mungu wako na umwabudu, huo mda unaopoteza kusoma mambo ya freemason, kuangalia documentary zao kama ungeutumia ktk kusoma biblia, au kuruan tukufu na kufanya ibada sasa hivi ungekuwa na neema kibao.
 
Back
Top Bottom