Mchakato wa vazi la taifa umezikwa rasmi, wahusika wachukuliwe hatua kwa kulisababishia hasara taifa

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,906
2,885
Ule mchakato wa vazi la taifa ambao umegharimu mamilioni ya pesa za walipa kodi wanyonge wa nchi hii, mchakato ambao tangu mwanzo wake mimi sikuwahi kuona tija yake zaidi ya kuwapa watu ulaji wa bure kabisa, sasa ni dhahiri kuwa umezikwa rasmi baada ya mheshimiwa waziri kukiri kuwa haiwezekani kumchagulia mtu nguo ya kuvaa.

Napendekeza waliokomalia sana huo mpango wachukuliwe hatua kwa kuliingizia taifa hasara.
 
Back
Top Bottom