Wana JF,
Baada ya kukamilisha Usajili wa Kampuni yangu (Advertising Agency) na vitu vingine muhimu k.v. Memorandum, Business Plan, Marketing Proposal, Portfolio, Stationeries & Branding...
Habari wadau!
Duka linauzwa liko Mwanza, wilaya ya Ilemela-Buswelu, mtaa wa Buhilya. Ni duka la kawaida la bidhaa za rejareja, liko site nzuri kiasi kwani wastani wa mauzo kwa siku ni laki 2 hadi...
Habari za jioni wana JF, nimeona nishee nanyi mawazo haya ambayo wengi wetu hatuyapi mkazo na badae tunakwama na kuhaha.
Kama wataka kufanikiwa katika uwekezaji wako na biashara hebu pitia haya...
Heshima mbele!
Kichwa cha habari kinajieleza. Mimi ni mjasiriamali wa kuzaliwa yaani ipo kwenye damu. Kwa sasa kuna mradi naifanyia kazi natafuta mtu mwenye uwezo wa kutengeneza website, graphic...
Habari zenu wote,
Nimetumiwa hii link na rafiki yangu,kwamba kila atakayeclick hapo chini ,mimi nitapata 5%,na huyo mtu akiamua kujiregister na yeye akishare hiyo link nayeye atapata 5%.
Naomba...
Nataka kufuga kuku wa kisasa wa nyama wakati huo nafuga kuku wa kienyeji, je inawezekana?, hakuna magonjwa ya kuambukizana, wazoefu na wataalam naomba mwongozo
Wadau,
Nafikiria kuanzisha mradi wa kushona viatu, mikanda pamoja na wallet. Je ni mashine zipi za kuanzia ninazotakiwa kuanza nazo na gharama yake ni kiasi gani? ni aina gani ya Mashine inafaa...
Habari!,
Nina Kiwanja kimejengwa msingi Kipo Iringa Mjini-ISAKALILO hakina hati(nlijaribu Kufuatilia Hati Wanazungusha Sana Pia Wanahitaji Fedha Mi Sina Kitu Nkashindwa) naomba kwa yeyote au...
RIFARO AFRICA LTD ni kampuni mama kutoka Tanzania yenye lengo la kumsaidia mmiliki wa simu ya mkononi yeyote yule kuweza kunufaika na muda wa maongezi anaoutumia kumuingizia KIPATO bila ya...
Refer heading above. Nimekuwa inspired sana na mambo ya kilimo na ufugaji kwaiyo nataka niwe kampuni ya hizo sekta nilizozitaja hapo juu. Kwa yoyote anayejua procedures za kufanya ili nikamileshe...
Wadau, salama?
Nakuja mbele zenu leo kuomba msaada wa mawazo juu ya mambo ya biashara. Mm sina uzoefu wa biashara, nimesomea IT, nimeajiriwa mwaka wa tano sasa, lakini nimekuja kugundua kipato...
Habari wadau,
Kama una kampuni ya web design & hosting, tuwasiliane kwaajili ya Business Partnership. Nina hitaji mtu atakayekuwa akihost websites na Emails za wateja wangu. Call or text 0653 257566
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.