Hawa Kuku Siwaelewi,Ushauri Tafadhari..!

kinje ketile

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
4,818
9,171
Ni wa mayai wameshamaliza miezi 6 na bado hawajaanza kutaga...wanamaliza chakula tu.Nini kifanyike waanze kutaga!
 
CHUNGUZA AINA YA CHAKULA UNACHOWAPA, hakina virutubisho vya kutosha.

=> KIASI/RATIO YA CHAKULA UNAYOWAPA NI NDOGO WAPE CHAKULA CHA KUTOSHA KILA SIKU, unawapimia chakula kidogo sana hudumaa na kuchelewa kutaga
=> KAMA UPO SEHEMU ZA BARIDI KALI, baridi huchangia ila KIASI CHA CHAKULA UNACHOWAPA NDO NINA WASIWASI NAYO
 
Hata mimi kuku wangu wana tatizo hilo,ila nimejaribu kubadili majogoo ndoo kidogo wanakuja kwa kasi,
 
Back
Top Bottom