Natafuta Social Entreprise Partner - IT Guru

Natafuta Social Entreprise Partner - IT Guru

DALA

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
2,259
Reaction score
4,691
Heshima mbele!

Kichwa cha habari kinajieleza. Mimi ni mjasiriamali wa kuzaliwa yaani ipo kwenye damu. Kwa sasa kuna mradi naifanyia kazi natafuta mtu mwenye uwezo wa kutengeneza website, graphic design tuwe parners. Kimsingi Sitamlipa mshahara ila tutajiwekea njia nzuri ya kugawana kamisheni kila baada ya mauzo yatokanayo na kazi zetu.

Sifa muhimu ni uaminifu, comitment siyo wale wa kusaza kazi kwa visingiziao kibao.

Kama unahisi tunaweza kuendana please PM me na unipe maeneo yako ya ujanja.

Muhimu, uwe na uwezo wa kutengeneza online forums.

Barikiwa
 
sawa nadhani twaweza fanya biashara mie ni mzuri wa graphics so
 
Back
Top Bottom