Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Rejea habari hapo juu .Samaki aina ya kambale wanauzwa ,wapo Mbezi mpiji magoe . Uzito (500gram-1.5kg), kilo Kilomoja ni TSH 6000.00,wasiliana kwa 0755305766
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hahaha!!! naona jinsi unavoshangaa na unataka kuniandalia bonge la tusi. Yaani hapo unajiuliza bia moja ya Tzs 2,500 inawezaje kubadili maisha ya mtu? Penginepo wewe ni mlevi kama mimi katika...
5 Reactions
49 Replies
8K Views
Kwa lugha nyepesi ni kwamba ukiajiriwa maana yake umeshindwa kujitegemea kwa ujuzi wako (yaani hujui ufanyie nini) hivyo umeona uukabidhi ujuzi wako kwa wenye "akili na uwezo" wa kuupangia...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Ndio mara yangu ya kwanza kulima mwaka huu hila nimeanza na mananasi na sasa hv yameshakomaa nnataka nianze kuvuna
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni msaada wapi naweza pata chupa zinnazo weza kuingia kimiminika za 70ML &100ML nipo dar es salaam... msaada wenu niweze kamilisha order ya kusambaza mafuta ya kupaka
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunauza kuku wa kienyeji kutoka singida bei 13000.karibuni sana
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau natanguliza salam zangu kwenu...napenda kusaidiwa jinsi yakupata mzigo wa rim papers za A4 ambazo nitaweza kuziuza kwa jumla...kwa kuzisambaza katika mastationaries APA mjini...nipo...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Kama upo upo mbeya mjini tuwasiale ili tujue tunasaidiana vp...naomba kuwasilsha
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu nilikua naomba msaada wa kujua bei za mashine za kufyatulia matofali. Ya aina zote ya kuchoma na kawaida ikiwezekana na mahali zinapopatikana. Asante
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nahitaji mashine hiyo Kwa arusha naza Pata ..
0 Reactions
1 Replies
3K Views
habari za majukumu wanajukwaaa. kama tittle inavyojieleza naomba ushauri juu ya mashine nzuri ya kutengenezea popcorn na bei zake,pia sehem nnayoweza kuzipata mashine za uhakika,na...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Naomba kuuliza nachanga vipi dawa ya kuua wadudu ya karate tafadhali.. Maelezo yananichanganya kidogo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Chukua hatua, jipatie DvD hii kwa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji Isuzu injection kununua. Bei maelewano ila inaanzia na Tsh 3m na kuendelea. Ikiwa popote hata ifakara au Tabora tutaifuata. Iwe Tipper au boxboard sawa tu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kazi ishakuwa kadhia,mwaka ushapita pasi kuwa na ajira japo Degree ninayo,tena ya Uchumi. Nimedhamiria kujiajiri hata kwa kuficha vyeti,Ombi langu, je biashara ipi ya halali na mtaji kiasi gani...
1 Reactions
27 Replies
8K Views
Heshima yenu wakubwa. Wakubwa nina mil 10 ya kwenda kununua nguo china na kuja kuuza hapa mjini. Yupo rafiki yangu ambaye nyumba zetu zimepakana ameahidi kwenda na mimi na kunisadia huko China na...
1 Reactions
41 Replies
11K Views
Habarini wanaJF, Samahani naomba kufahamu kwamba ni zao gani ambalo Lina mzunguko mkubwa sokoni kwa hapa Tanzania. Ninataka kuanzisha kilimo mda sio mrefu, Ila sasa sijajua kwa kipindi hiki in zao...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari waungwana. Mtu yoyote ambaye anachoroko au anamjua mtu anae uza choroko nahitaji kama gunia 500 kwenda mbele. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Inafaa kwa lishe ya mtoto, kulia mkate, kiungo cha mboga nk.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari jf napenda kujua soko la dhahabu dar kwa watu wanao rangua gram 1 sh. Ngapi? Je wanunuzi wapo wa uhakika
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Back
Top Bottom