Wadau, salama?
Nakuja mbele zenu leo kuomba msaada wa mawazo juu ya mambo ya biashara. Mm sina uzoefu wa biashara, nimesomea IT, nimeajiriwa mwaka wa tano sasa, lakini nimekuja kugundua kipato...
Habari wadau,
Kama una kampuni ya web design & hosting, tuwasiliane kwaajili ya Business Partnership. Nina hitaji mtu atakayekuwa akihost websites na Emails za wateja wangu. Call or text 0653 257566
nimenunua gari aina ya noah min bus kwa ajili ya biashara nimeambiwa kila siku dreva analeta elf 40 kwa mwezi inakua milioni moja laki mbili kwa lugha nyingine ukitoa laki mbili kwa ajili ya...
Ikiwa unatumia fedha mara kwa mara kunyonya maji taka ktka kalo la nyumbani,shulen;msikitini, offisin na sehem nyingine kama huzo ..sasa tunaweza kuweka system itakayo kufanya ukae zaidi ya miaka...
Mimi ni mfanya biashara wa nafaka ninasaga na kupaki unga ninawaza kuhamishia mashine zangu dar kutokana ma fulsa ambazo nahisi kuzipata nikiwa uko kama vile masoko n.k. Naombeni ushauri kwa...
Jamani kila ninapofikiria nianzishe mradi, juhudi zinakwama hasa katika kubuni huo mradi. Big up sana kwa walioweza huu mtihani.
Naombeni na mimi mnipe techniquesm
Wadau napenda kuwashilikisha katika uwekezaji wa miti na kujipatia utajiri Baada ya muda mfupi....miti inapatikana Kuanzia hekari 1 hadi 300 .nk..miti hiyo ni kama vile.....
(a ) miti iliyo...
Habari!!!
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) mwaka wa kwanza. Niko katika hatua za usajili lakini nimepungukiwa laki 4 kukamilisha usajili. Mkopo kutoka bodi (HESLB) nimepata, ila...
Ndugu wadau, kwa yeyote anayehitaji kufanya biashara ya kuuza gesi za kupikia pamoja na vifaa vyake tuwasiliane.
Nimekuwa nikifanya hii biashara kwa kipindi cha miaka mitano sasa nikimiliki...
Samahani sana ndugu zangu nataka kufungua kampuni ya Fumigation now nipo katika masuala ya usajili, nataka kujua ni mikoa ipi nitapata zaidi soko na changamoto zake.
Wakubwa shikamoni, wenzangu na Mimi habari zenu
Mm ni kijana bado cjaoa, nahitaji kufikia malengo yangu ya kumiliki nyumba mjin kabla ya kuoa,
Nina mtaji wa Tsh 1,000,000/= nahitaji mnipe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.