Mzigdash JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 441 Reaction score 380 Dec 4, 2015 #1 Mwenye kufahamu aina ya vitabu vya ujasiriamali na waandishi naomba anisaidie..
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 43,995 Reaction score 110,392 Dec 10, 2015 #3 Mzigdash said: Mwenye kufahamu aina ya vitabu vya ujasiriamali na waandishi naomba anisaidie.. Click to expand... Tanabahisha kidogo ili tukusaidie kuvipata, na...... weka aina ya vitabu na vinavyo husu nini.
Mzigdash said: Mwenye kufahamu aina ya vitabu vya ujasiriamali na waandishi naomba anisaidie.. Click to expand... Tanabahisha kidogo ili tukusaidie kuvipata, na...... weka aina ya vitabu na vinavyo husu nini.
Mzigdash JF-Expert Member Joined Jun 21, 2015 Posts 441 Reaction score 380 Dec 10, 2015 Thread starter #4 ushiboy said: Tanabahisha kidogo ili tukusaidie kuvipata, na...... weka aina ya vitabu na vinavyo husu nini. Click to expand... Vitabu vyivyote vile vihusuvyo ujasiriamali katika biashara,kilimo,ufugaji,kujiajili mwenyewe..kama mtu anavifahamu msaada tafadhari
ushiboy said: Tanabahisha kidogo ili tukusaidie kuvipata, na...... weka aina ya vitabu na vinavyo husu nini. Click to expand... Vitabu vyivyote vile vihusuvyo ujasiriamali katika biashara,kilimo,ufugaji,kujiajili mwenyewe..kama mtu anavifahamu msaada tafadhari
Kimolah JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 571 Reaction score 775 Dec 10, 2015 #5 Bahati mbaya waandishi kwa lugha ya kiswahili wachache na vitabu ni vichache mno. Ila kwa lugha ya merikebu vipo vingi sana.
Bahati mbaya waandishi kwa lugha ya kiswahili wachache na vitabu ni vichache mno. Ila kwa lugha ya merikebu vipo vingi sana.
M mwenewachu Member Joined Nov 19, 2011 Posts 74 Reaction score 22 Dec 10, 2015 #6 Mzigdash said: Mwenye kufahamu aina ya vitabu vya ujasiriamali na waandishi naomba anisaidie.. Click to expand... "Enterpreneurship" download free. Electronic library. Finding books bookzz
Mzigdash said: Mwenye kufahamu aina ya vitabu vya ujasiriamali na waandishi naomba anisaidie.. Click to expand... "Enterpreneurship" download free. Electronic library. Finding books bookzz
N nickyrabit Member Joined Nov 29, 2013 Posts 33 Reaction score 5 Dec 26, 2015 #7 Mjasiriamali wa Tanzania by LN ngailo ukitaka kukipata ni pm