Je unatumia simu ya mkononi na unatumia vocha na mabando ya internet , simu yako jembe lako karibu R

Nov 4, 2015
23
1
RIFARO AFRICA LTD ni kampuni mama kutoka Tanzania yenye lengo la kumsaidia mmiliki wa simu ya mkononi yeyote yule kuweza kunufaika na muda wa maongezi anaoutumia kumuingizia KIPATO bila ya kuathili shughuli zake za msingi za kila siku.

Kampuni ilipata wazo la toka mwaka 2011, lakini ilianza kulifanyia kazi rasmi mwaka 2014 mwezi wa 12 baada ya taasisi zote muhimu kuipitia na kujiridhisha na utendaji utakaoenda kumsaidiamtumiaji wa simu kwamba uko sahihi

VIBALI NA UHALALI WA KAMPUNI👇
(a) Brela reg. No 109753
(b) Tra TIN 124-401-917
(c) Leseni no. B17899333
(d) TCRA no. 15420

BIDHAA 👇
Kampuni imetuletea bidhaa makini sana, muda wa maongezi "AIRTIME", bidhaa ambayo katika maisha sasa haikwepeki na ina umuhimu mkubwa sana, iwe mchana au usiku, wakati shida ama raha bado tunaihitaji. "Mimi nadiliki kusema katika mahitaji ya mwanadamu kuachilia mbali malazi chakula na mavazi kwa sasa hili la muda wa maongezi ni hitaji la nne"

MFUMO WA BIASHARA😃
Rifaro inaendesha biashara hii kwa mfumo wa mtandao "Mult Level Marketing"

Biashara ya karne ya 21, biashara ambayo inakufanya uachane na kutumia nguvu nyingi, biashara ambayo itakupatia kipato ambacho hakina ukomo uwepo usiwepo biashara yako inaendelea kuwepo.😁

Rifaro wameuweka mfumo huu katka vizazi 15. Utalipwa kuanzia kizazi cha 1-15 kwa uwiano tofauti kulingana na kizazi kwa kizazi

MPANGO WA MALIPO👇

(a) Malipo ya Juma(week)

Haya malipo hutokana na kazi uliyoifanya kwa kushirikiana na washirika wako kibiashara kuanzia kizazi cha 1-15

Hapa utalipwa kulingana na idadi ya washiriki wapya waliongia katika juma husika.

Juma la Rifaro linaanza Jumatatu saa 6:01 usiku na kufungwa Jumapili saa 6:00 usiku

Malipo haya hulipwa kila Jumatano ya Juma kupitia Rifaro/Selcom kadi yako.

MALIPO YA JUMA YAKO VIPI? 👇
Kizazi 1 = TZS 20,000 kwa kila atakayejiunga kwako moja kwa moja

Kizazi 2 = TZS 8,000
Kizazi 3 = TZS 5,000
Kizazi 4 = TZS 5,000
Kizazi 5 = TZS 5,000
Kizazi 6 = TZS 3,000
Kizazi 7 - Kizazi 15 = TZS 2,000 kwa kila kizazi

MFANO WA MALIPO👇
Tuchukulie umeingiza watu 5 katika mfumo huu na kila aliyeingia basi naye aingize watu watano watano ndani ya miezi saba tu. Kumbuka huu ni mfano tu waweza ingiza watu kadili uwezavyo.
1) 5*20000 = 100,000
2) 25*8000 = 200,000
3) 125*5000 = 625,000
4) 625*5000 = 3,125,000
5) 3125*5000 = 15,625,000
6) 15625*3000 = 46,875,000
7) 46875*2000= 93,750,000
Naomba umalizie kwa kizazi cha 8 - kizazi cha 15💰💰

MALIPO YA MWEZI 👇
Haya ni malipo yanayotokana na manunuzi ya muda wa maongezi uliotumia wewe binafsi pamoja na washirika wako katika biashara mpaka kizazi cha 15

Mgawanyo wa malipo uko hivi👇
(a) wewe binafsi ni 1%
(b) kizazi 1 - kizazi 5 ni 0.25% kwa kila kizazi
(c) kizazi 6 - kizazi 15 ni 0.25% pia
(d) 0.5% ni zawadi

Sasa tuchukulie mfano uleule wa kusajili watu watano watano katika mfumo ndani ya miezi 7 na kila mtu akatumia muda wa maongezi wa wastani wa TZS 15,000 kwa mwezi

1)5*15000*0.5%=375
2)25*15000*0.5%=1,875
3)125*15000*0.5%=9,375
4)625*15000*0.5%=46,875
5)3125*15000*0.5%
=234,37
6)15625*15000*0.25%
=585,938
7) 78125*15000*0.25%
=2,929,688
Ukijumlisha pesa hiyo utajikuata unalipwa TZS 3,808,500
Unaweza malizia mahesabu pia💰💰💰💰💰💰

KUMBUKA TZS 15,000 kwa mwezi ni kigezo cha wewe kulipwa wengine hutumia zaidi muda huo wa maongezi.

MTAJI WA BIASHARA👇
TZS 128,500 tu na utapata
1) DVD
2) Selcom/rifaro kadi yenye
TZS 7,000
3) Kitabu cha biashara
4) Ukurasa wako kwenye
tovuti ya kampuni
(www.rifaroafrica.com)
5) kadi ya kujisajilia

ZAWADI ZA BIASHARA 👇
1) watu 15,000 - Kiwanja
2) watu 25,000 - Safari
kwenda Maka/Israel
3) watu 40,000 - gari la
kawaida
4) watu 70,000 - gari la
kifahari
5) watu 120,000 - jumba la
kifahari

Tunasema "Simu yako, Jembe Lako"

Ukitaka Kujiunga tumia no.Yangu ya usajili R954818

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi 0782163738/0712163738
 
Back
Top Bottom