Max malipo

Jul 17, 2015
6
7
Habari #TeamJamiiforums. Nilikua naomba msaada nijue jinsi ya kuwa wakala wa MAXMALIPO. Nataka nijue sifa,vigezo na mashariti ya kuweza kufanya hiyo huduma katika jamii yangu. Pia nijue na kiasi cha fedha nacho takiwa kuwa nacho.


Wenu mtiifu,nategemea majibu mazuri toka kwenu. Asante!
 
Acha kupenda kutajirisha wenzio.f
anya biashara inayolipa sio unawafanyia watu bishara. Any way tembelea wakala aliyekarib
 
Acha kupenda kutajirisha wenzio.f
anya biashara inayolipa sio unawafanyia watu bishara. Any way tembelea wakala aliyekarib

Sikia,nina mishe zangu na ni mjasiliamali ambae nimetoka mbali sana... Pia nimesomea biashara,nina vyeti vya biashara na vya ujasiliamali. Hivyo natumia kila elimilu nilio pata pale ninapo weza na ninapo ona pana faida kwangu.
 
Nihivi kwanza uwe na leseni pia uwe na Tin number hlfu mtaji ni laki 830 me niwakala wa max kma unataka kuelewa zaid nipigie 0712438589
 
Ninayo mashine ya Maximalipo Kama unahitaji nitakuuzia kwani kwasasa nabadilisha Biashara. Nicheck kwenye Whatsapp yangu 0778080031
 
Back
Top Bottom