tajirisana
Member
- Sep 29, 2010
- 83
- 23
nahitaji dagaa waifugo
Mimi nina dagaa wa Samaki
nahitaji dagaa waifugo
Hata Mimi nahitaji dagaa kwa ajili ya mifugo
nahitaji wengi kama tan1 kila mwezi.wewe unauzaje ili nijue kama bajeti yangu itaweza bei yako