Naomba ushauri kuhusu kufuga kuku wa kienyeji na wa kisasa ktk eneo / kiwanja kimoja.

ILLUNGU

Member
Oct 12, 2015
35
5
Nataka kufuga kuku wa kisasa wa nyama wakati huo nafuga kuku wa kienyeji, je inawezekana?, hakuna magonjwa ya kuambukizana, wazoefu na wataalam naomba mwongozo
 
Inawezekana ila usiwaweke bando mojo mabanda yao yakiwa na distance kidogo itakuwa vema zaidi kwani magonjwa ya kuku huenezwa kwa njia ya hewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom