Angalia Screenshots za Website ninayodesign kwaajili ya Kampuni yangu, NJOO UWEKEZE!

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Wana JF,
Baada ya kukamilisha Usajili wa Kampuni yangu (Advertising Agency) na vitu vingine muhimu k.v. Memorandum, Business Plan, Marketing Proposal, Portfolio, Stationeries & Branding Collaterals, nilipost uzi nikiomba mwenye uwezo wa fedha chochote au kiasi cha milioni 5 aje tuungane, hakuna aliyejitokeza hata kuomba kutumiwa Company Profile aone kama kuna namna atafit. Biashara hii naijua maana nimetumikia Media industry kwa muda sasa hivyo nimeamua kujiajiri na kwakuwa maono ni makubwa, nahitaji Supporters. Angalia Screenshot ya Website ninayoitengeneza mwenyewe from scratch ambayo ni kwaajili ya Kampuni hii.
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • 1.JPG
    1.JPG
    64 KB · Views: 311
  • 2.JPG
    2.JPG
    82 KB · Views: 289
  • 3.JPG
    3.JPG
    70.4 KB · Views: 285
Back
Top Bottom