Namna ya kusajili kikundi cha wakulima

Nkuba25

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
2,341
13,021
Wanabodi

Ningependa kujuzwa ni taratibu zipi zinapaswa kupitiwa ili wanakikundi wawezi kukisajili Kikundi chao na kiweze kutambulika kisheria.

Nipo na wakulima wenzangu kama wa 5 hivi.

Asante.
 
zipo kampuni maalumu kwa kazi hiyo, ukitaka uwajue kwa wilaya ulipo nenda kwenye ofisi za kilimo wilayani hapo na watakuelekeza uwapate wapi wahusika.
 
Nenda kwa Afisa maendeleo jamii wa wilaya yako atakupa muongozo wa kuiandaa katiba yako.
 
Kama mnataka kusajili JINA LA KIKUNDI basi nendeni BRELA, hususan kama mpo DAR-ES-SALAAM. Kama ni nje ya Dar-es-Salaam basi waoneni Maafisa Maendeleo ya Jamii wawasaidie katika usajili mnaotaka.
 
Back
Top Bottom