Ingiza pesa kwa kushare link na marafiki zako

Mijicho

JF-Expert Member
Jan 20, 2009
280
217
Habari zenu wote,

Nimetumiwa hii link na rafiki yangu,kwamba kila atakayeclick hapo chini ,mimi nitapata 5%,na huyo mtu akiamua kujiregister na yeye akishare hiyo link nayeye atapata 5%.

Naomba kuwafahamisha kuwa niko kwenye majaribio kama ni kweli hii kitu ina work.

Tujaribuni tu ,maana sioni madhara yake.Wanasema unaweza kuipata hiyo hela ikifika dollar 300.

tafadhalini naomba mclick ili nirudi niwape mreejesho kama kweli hii kitu ni ya ukweli.


http://jamiiforums.com/?ref=348498
 
Back
Top Bottom