Nataka nianzishe kampuni ya kilimo cunsulting!!!!

Investaa

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
810
707
Refer heading above. Nimekuwa inspired sana na mambo ya kilimo na ufugaji kwaiyo nataka niwe kampuni ya hizo sekta nilizozitaja hapo juu. Kwa yoyote anayejua procedures za kufanya ili nikamileshe ili zoezi.

Nawakilisha asanten...
 
Duuu ungefanya kimoja kati ya hivyo.ila kilimo ukikifanya hutafanya biashara yoyote tena kilimo kipo vzr mimi nalima Lindi ufuta na Mahindi Alizeti na Mbaazi kiteto
 
biashara ya kuanza NATO ni ufugaji tena anza na kuku wa kienyeji ukishakuwa sawa anza kulima.ufugaji unalipa.
 
Hongera sana.

Nashukuru sana Mkuu ila muda wa mavuno ukikaribia ntarudi humu tena mnisaidie ufuta na mbaazi nataka niuze nje najua kuna wataalam wa biashara za on line humu Mungu akinijaria nataka niwe na containers 2 moja ya ufuta na mbaazi wanunuzi wa kihindi wananunua bei ndogo sana.nataka niwe na ton 30 ufuta na 30 ya mbaazi
 
Back
Top Bottom