Uko mkoa gani? Unasoma day au boarding? Inategemea na mazingira ya shule, biashara ambayo haiingiliani na ratiba za masomo wala kukuhitaji muda na energy nyingi itakufaa zaidi. Kama simu zinaruhusiwa na wanafunzi wengi wana simu unaweza kuanza na biashara ya vocha. Then unaweza kupokea pesa za wale wanaotumiwa kwa kuwachaji commission ndogo. Yote inategemea na mzingira ya shule yenu, bila kujua mazingira inakuwa ngumu kidogo kuona opportunities.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.